Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe

Haihitaji mzee wa ndani aje kusaidia ni simpo, Shibuda kisha sema Mbowe ni Dikteta. Na anaendesha chanma kibabe babe kwa ajili tu hana uzoefu wa uongozi wa siasa. No CV.
Sijaona chanzo chochote cha kuaminika kuwa Shibuda alisema maneno hayo mbali na gazeti la Rostum, hodari wa kuchakachua habari. Kama kweli Shibuda alisema hivyo Majira, Mwananchi, Kulikoni, na Daily News yangeiweka hiyo stori ukurasa wa mbele.
 
Seriously, I should consider shifting from Dar es salaam, if this name is being misused by the misguided and confused creatures!!!!!

ni kweli, bora urudi kule kijijini kwenu mwanalugali, kibaha, mkaliendeleze shirika letu la elimu la kibaha, na vile vijiji vyenu vya tumbi, dar es salaam hapakufai
 
Shibuda alipo ihama CCM na kujiunga Chadema watu walimsifu na kumuita mpambanaji. Watu waliomsema vibaya Shibuda walipondwa na kuitwa wapenda ufisadi. Leo hii Shibuda huyo huyo ambae ali sifiwa sana ana pondwa na wale wale waliomsifia. Siasa Tanzania unafiki mtupu na mashabiki wa siasa Tanzania wengi wao wanafiki tupu. Wata tetea kitu ikiwa in their favor ila kitu hiko hiko kikiwa against them wana badilika.


Mkuu,

Mimi nakugongea thank kwa statement hii,"..Siasa Tanzania unafiki mtupu na mashabiki wa siasa Tanzania wengi wao wanafiki tupu. Wata tetea kitu ikiwa in their favor ila kitu hiko hiko kikiwa against them wana badilika"

Ingawaje ni overgeneralisation but statement yako inawagusa majority.
Ya wanachadema na Shibuda na CCM sina comment.
 
Back
Top Bottom