Zitto - Why I Want to Succeed Mbowe

Youthful Kigoma North MP Zitto Kabwe yesterday declared that he has decided to wrest the leadership of Chadema from chairman Freeman Mbowe to restore unity in the party, with the possibility of playing a bigger role in national politics
Tatizo la Zitto ni mawili............kwanza kabisa hana mvuto wa kisiasa...................na pili afya yake ina mgogoro na mushkeli mkubwa mno.............................haya mawli yanatosha kumtoa katika tafukari za mustakabali wa taifa hili kwa miaka ijayo...................

Kama utakutana naye mshauri asome na kutafakari Proverbs 16 :9 "You may have your plans but God directs your actions."
 
Tujikumbushe hili tatizo la taifa!

2yz9yxh.jpg

Msinikumbushe nilichanganyikiwa sana siku hiyo nilijiuliza tutapata wapi pesa za uchaguzi?
 
Isije kuwa hiki ndio kisa kilichofanya Mbowe alazwe Hospitali baada ya kula cha kula cha kwenye mkutano wa Chadema?
 
JMK ni rejea ya kijinga ktk uongozi so na hii thread ni ya kijinga.

Kwa kuwa haidhuru hata kama unataka tutoke nje ya mada.

Ningependa unionyeshe mmoja kati viongozi wa chadema mwenye cv ya kuongoza ambayo inafika hata robo tu ya cv JMK.
 
Dar es slaam hawezi kuelewa kwamba tanzania si shwari na kwakuwa katumwa ndio maana utamsikia mara nyingi hoja zake ni za ubaguzi. Hawa ndio wakisemwa kwa maovu yao wanakimbilia huruma ya udini na ukabila. Hawafai watu hawa. Chadema ipo na inawakilisha umma. Tutaijadili chadema siku zote katika jukwaa hili kwa kuwa ndio chama cha upinzani kilichobaki wengine wasindikizaji. Tunamtakia safari njema zitto zuberi kabwe home boy aende atakako kwenda hatutaki mapopo chadema hatutaki mandumila kuwili. Period!
Dar es salaam kwani umelazimishwa kuandika kuhusu chadema kwanini usiandike kuhusu makamba, chiligati na celina kombani?
Umma upi unaomaanisha? Ukristo/ukatoliki? uchagga? au undugu?
 
Ina maana Chadema hakuna ya unity? Nadhani hiki ndicho kinamponza Zitto. Kutaka kutumia demokrasia kwenye udikteta. Pole Zitto.

Ningependa mkuu uangalia mambo haya juu ya Zitto katika siasa za Tanzania japokuwa yanaweza yakawa si sahihi saaaana manake ni mtazamo tu.

Mafanikio yake makubwa;
  • Mafanikio ya Zitto kisiasa mbele ya Jamii yalitokana na msimamo wake thabiti juu ya suala la Buzwagi. Wanachi wote tulipenda msimo wake wa kutetea nchi kinyume na watangulizi wake ambao walipokuwa wanawekwa kwenye kona na ccm walikuwa wakichagua ku-withdraw kauli zao kwa kuogopa adhabu na hata kama walikuwa wanajua walichosema ni ukweli mtupu!
  • Kingine katika umaarufu wake kisiasa ilikuwa ni umakini aliouonyesha katika hoja zake bungeni zenye maslahi ya taifa
Sintofahamu zake na jamii:
  • Kushupalia Mitambo ya DOWANS kununuliwa na serikali mpaka kufikia hatua ya kuomba kamati yake ikutanishwe na ya nishati ya madini
  • Kuongea TBC juu ya sababu yake kutoudhuria bungeni wakati wabunge wenzake wanampango wa kutoka nje ya bunge wakati wa hotuba ya ufunguzi
  • Habari zilizoandikwa kumhusu hasa na gazeti la Mwanahalisi
Mkuu ukiangalia hayo yote utagundua mafanikio yake kisiasa na umaarufu wake kwa jamii haupungui kwasababu aligombea uenyekiti. Katika sintofahamu nilizoirodhesha hapo juu, ya mwisho tu ndiyo kidogo naweza kuhisi labda inatokana na mitafaruku ndani ya Chadema na hizo hisia zinatokana na majibu ya Zitto mwenyewe humu jamvini wekend kama 2 zilizopita japokuwa kama yaliyoandikwa ni sahihi basi hatuwezi tena ku-link hiyo sababu na mitafaruku yao.

Tukiwa waungwana kwa Zitto ataweza kuona makosa yake na kuyarekebisha, hizo sintofahamu juu yake kazijenga mwenyewe! Umejiuliza kwanini Jamii isiwashutumu wengine ambao hawakuhudhuria bunge siku ya hotuba ya JK badala yake imwandame yeye tu? Sababu ni kauli alizotoa TBC!
 
Nina swali jamani lina nitatiza. Hivi utaratibu wa uchaguzi Chadema ukoje? Meaning chaguzi za viongozi wakuu wa chama una fanyika kila baada ya muda gani?
 
Nadhani ni 5 years.

Mkuu so uki sema unadhani ina maanisha hauna uhakika? Maana vitu kama hivi lazima viwe general knowledge to the public. O.k. je Mbowe ali chukua uenyekiti mara ya kwanza mwaka gani? Sababu na uliza hivi si Chadema tu bali hata CUF sijui utaratibu wao wa uchaguzi ni kila baada ya muda gani.

Na je kama mwaka wa jana uchaguzi wa Chadema ulikua scheduled kufanyika kwa nini walimzuia Zitto kugombea? Na hii pia si kwa Chadema pia bali hata CCM wana tabia hiyo ya kumpitisha incumbent bila pingamizi. Sasa kwa nini kuwe na uchaguzi kama watu hawato ruhusiwa kugombea? Kama incumbent ni strong enough kwa nini waogope uchaguzi?

Yote haya nauliza kama kero ambazo zipo kiujumla kwenye vyama vyetu vya siasa kwa hiyo wanachadema wasi dhani na single out chama chao.
 
Malaria sugu bwana, mambo ya 2009 unayelata 2011? Fikiria mara mbili kama unataka heshima hapa JF

Unamtafuta MS, utampata tu. Time zake baada ya kusali alfajr.

Kuhusu huo mwaka nadhani wewe ndio umeukosea, tuko 2010 na si 2011 kama utakavyo iwe. Na huo wa 2009, haswaa ndio wenyewe.

Kama huoni mantiki ya huo mwaka na haya yanayomfika Zitto basi huna hata haja ya kuchangia hii mada kwani u mpiga debe au tinker and not a thinker.
 
Mkuu so uki sema unadhani ina maanisha hauna uhakika? Maana vitu kama hivi lazima viwe general knowledge to the public. O.k. je Mbowe ali chukua uenyekiti mara ya kwanza mwaka gani? Sababu na uliza hivi si Chadema tu bali hata CUF sijui utaratibu wao wa uchaguzi ni kila baada ya muda gani.

Na je kama mwaka wa jana uchaguzi wa Chadema ulikua scheduled kufanyika kwa nini walimzuia Zitto kugombea? Na hii pia si kwa Chadema pia bali hata CCM wana tabia hiyo ya kumpitisha incumbent bila pingamizi. Sasa kwa nini kuwe na uchaguzi kama watu hawato ruhusiwa kugombea? Kama incumbent ni strong enough kwa nini waogope uchaguzi?

Yote haya nauliza kama kero ambazo zipo kiujumla kwenye vyama vyetu vya siasa kwa hiyo wanachadema wasi dhani na single out chama chao.
Nimesema nadhani kwa sababu sikuwa na uhakika. Mbowe ametumika muhula mmoja tu kama mwenyekiti. Hii ni term yake ya pili. Zitto alishauriwa na wazee wa chama asigombee mwaka huu kwa sababu za ndani za kichama (ambazo hata mimi sizifahamu) Zaidi ya hapo utahitaji a CHADEMA insider akusadie kwa majibu.
 
Haihitaji mzee wa ndani aje kusaidia ni simpo, Shibuda kisha sema Mbowe ni Dikteta. Na anaendesha chanma kibabe babe kwa ajili tu hana uzoefu wa uongozi wa siasa. No CV.
 
QUOTE=ngwendu;Umma upi unaomaanisha? Ukristo/ukatoliki? uchagga? au undugu?

Validate your opinion. Otherwise you are just a VIRUS. Kwani mwenyekiti wa CHADEMA ni mchaga,msaidizi wake ni mwarabu mfipa. Katibu mkuu ni muiraqw,msaidizi wake ni muha! Wabunge wapo mchanganyiko,wasukuma,wazanaki,wajaluo,wachaga,wanyakyusa,wapogoro,wairaqw na wachaga. Kwa upande wa dini:kwa viongozi,mwenyekiti na katibu mkuu ni wakristo na wasaidizi wao ni waislamu. Wabunge nao kuna mchanganyiko. Ila mkubwa haya mambo hayana msingi sana,la kuzingatia ni uchapakazi hata awe hana dini wala kabila. Asante.
 
Nimesema nadhani kwa sababu sikuwa na uhakika. Mbowe ametumika muhula mmoja tu kama mwenyekiti. Hii ni term yake ya pili. Zitto alishauriwa na wazee wa chama asigombee mwaka huu kwa sababu za ndani za kichama (ambazo hata mimi sizifahamu) Zaidi ya hapo utahitaji a CHADEMA insider akusadie kwa majibu.

Nime kuelewa mkuu ila ina bidi tukubali kwamba Tanzania we have "selective democracy". Yani demokaris tunaifuata pale tunapo taka na pale tusipo taka ndiyo hiyo ya kukiuka kanuni tulizo jiwekea kwa sababu "zisizo julikana".
Nakumbuka 2005 Ghalib Bilal ali zuiwa kugombea hivyo hivyo kwa "sababu za kichama".

Ila mimi swali ninalo jiulizaga siku zote ni kwamba hawa incumbents hawa jiaminigi? Hata kama ni sababu za "kichama" kwa nini chaguzi usifanyike? Kama kweli chama kinaona kwa sababu ya kichama ni lazima incumbent abaki madarakani si ata pigiwa kura? Maana it does not make sense kwamba wanachama waone kwamba kwa sababu za kichama lazima incumbent abaki madarakani lakini wasimpigie kura kama uchaguzi uki fanyika. Unless hizi sababu za kichama siyo za kichama bali za watu wachache ambao wana jua uchaguzi uki fanyika majority ya chama hawata kubaliana nao.

Ila usijali Jasusi haya maswali siku ulizi wewe per se. I'm just throwing questions around to see if anybody has answers for them but I highly doubt it.
 
Haihitaji mzee wa ndani aje kusaidia ni simpo, Shibuda kisha sema Mbowe ni Dikteta. Na anaendesha chanma kibabe babe kwa ajili tu hana uzoefu wa uongozi wa siasa. No CV.

Shibuda alipo ihama CCM na kujiunga Chadema watu walimsifu na kumuita mpambanaji. Watu waliomsema vibaya Shibuda walipondwa na kuitwa wapenda ufisadi. Leo hii Shibuda huyo huyo ambae ali sifiwa sana ana pondwa na wale wale waliomsifia. Siasa Tanzania unafiki mtupu na mashabiki wa siasa Tanzania wengi wao wanafiki tupu. Wata tetea kitu ikiwa in their favor ila kitu hiko hiko kikiwa against them wana badilika.
 
Back
Top Bottom