Tunajua wewe hujapanga njama zozote dhidi ya yeyote.
Tunajua wewe sio mkwepa Kodi na tunajua huna hela za kutakatisha.
Tunajua tatizo ni kazi yako.
Ni uandishi wako.
Ni msimamo wako. Ni weledi wako.
Sisi marafiki zako tutapambania Uhuru wako. Inaweza kuchukua muda mrefu lakini TUTASHINDA.
Erick utakuwa huru, makosa yao ya kubumba yaliyokusweka jela hayatashinda haki. Watesi wako walisema wewe sio raia, Leo wamekutangaza wenyewe kuwa ni raia. Hata haya makosa ya sasa wao wenyewe watakutangaza kuwa huna.
We are happy that You are Strong Eric
View attachment 1173027
AmeenWashamba na Malimbukeni hawa, sijui huwa hawafikirii plan B wakitaka kupanga maovu yao.
Wamejing'ata ng'ata kwa makosa zaidi ya manne, eti leo wanaibuka na makosa mengine tofauti, kizazi hiki sio cha watu wajinga tena, muwe mnajipanga mkitaka kufanya uovu wenu, kuliko na kudhihirisha ujinga wenu namna hii.
Kuwa Imara utayashinda haya Erick.
AmeenHongera Zitto,kwa hali aliyonayo Erick,kupata mtu wa kukupa faraja na kukutia moyo hua ni msaada mkubwa sana
Tunajua wewe hujapanga njama zozote dhidi ya yeyote.
Tunajua wewe sio mkwepa Kodi na tunajua huna hela za kutakatisha.
Tunajua tatizo ni kazi yako.
Ni uandishi wako.
Ni msimamo wako. Ni weledi wako.
Sisi marafiki zako tutapambania Uhuru wako. Inaweza kuchukua muda mrefu lakini TUTASHINDA.
Erick utakuwa huru, makosa yao ya kubumba yaliyokusweka jela hayatashinda haki. Watesi wako walisema wewe sio raia, Leo wamekutangaza wenyewe kuwa ni raia. Hata haya makosa ya sasa wao wenyewe watakutangaza kuwa huna.
We are happy that You are Strong Eric
View attachment 1173027
#f.erickibendera.
Freedom is coming!
#f.erickibendera.
Freedom is coming!
Duh.!! Kishanuka