Yaani chama cha upinzani kinaanzishwa ili kiwe tishio kwa chama kingine cha upinzani??? Only in tz aseee...kama hilo litafanyika then claims za kuwa ni mtu wa chama tawala zitakuwa kweli.
Sidhani kama anaweza Fanya utoto huo..
Si unajua chama 'chetu' tena, usipokuwa mkaskazi unapata upinzani mkali ndani na nje ya chama?
Ni kweli chama chenu ni hatari kwa mustakabali na Amani ya nchi, Maana wale wa kanda ya PWANI walisema awamu ijayo (2015) Rais hawezi kutoka (KASKAZINI) na kwamba Rais tayari anamtambua eti hii ni zamu yao KULA na wengine watulie tuli kama wananyolewa!!!
Hiki chama. henu ni hatari sana kinafanya ubaguzi wa wazi wazi na hakuna wa kukichukulia hatua. Maana Mahakama, Police,Askari,Migambo Magereza vyote ni vyao...!!
Tutalia na kusaga meno
BACK TANGANYIKA
His move is too superior for your brain to understand.Difficult to give up kirahisi hivo mpaka kupoteza ubunge wake otherwise labda nia yake akibwaga mayanga aje kusimama mwakani kwa either ubunge au mgombea urais kwa chama lingine,alianzisha kesi ya nini kama rahisi kihivo au ashaona dalili kupoteza.
BTW atakuwa kawapiga mpunga mkubwa wale wa upande wa pili
Pokea Like yangu ndugu...CHADEMA sasa ndiyo chama kikuu cha upinzani, kisipojipanga vizuri kinaweza kupoteza wanachama na baadhi ya viongozi wakahamia ACT ya Zitto Kabwe na kwenye uchaguzi wa 2015 ACT kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani nchini na CHADEMA ikadhoofika. Hilo ndiyo tishiio liliopo. Zitto Kabwe is a one-man army. Vyama vya upinzani TZ bado vichanga vinaendeshwa na personality popularity tofauti na CCM ambayo ni taasisi hata ikiweka jiwe 2015 ndiye anakuwa Rais wa nchi. Inauma lakini ndio ukweli wa siasa za nchi yetu kwa sasa, ndiyo maana mafisadi kama EL wako tayari kutumia mabilioni kuusaka urais through CCM wanajua wakija upinzani hawawezi kushinda.
Kupambana nampago wa Mungu ningumu sana
Si unajua chama 'chetu' tena, usipokuwa mkaskazi unapata upinzani mkali ndani na nje ya chama?
Yeye na nafsi yake ndo wanaujua ukweli wengine tunaahangaika tu .
mpango wa Mungu au wa WAKANDA,MDEE MPAERE na fomu alichukuliea na wanawake wa KILIMANJARO na MNYIKA MPARE"kwanini nafasi ya ZITO musimpe hata LISU kuleta sura ya UTAIFA?hamuwezi kuchukuwadola kwa kutegemea kanda moja.
Kwani Lissu ni babako mzazi?HATA LISU WANAWASIWASI NAE KUMPA UNAIBU KATIBU MKUU,WAMEMPA MWENZAO MPARE MNYIKA.dah.
Yani Zitto ni almas? Unaleta mzaha wewe. Hata kwetu CCM hatumtakiHis move is too superior for your brain to understand.
Na kwa vile una akili za ki-BAVICHA,hata Pasco hujamuelewa. We need him and the likes more than we need CCM OR CHADEMA.ni mpumbavu tu anayedhani anaweza kuichafia almasi
Aende Chama Cha Mapinduzi