Paco kama kweli ni uhuru wa habari, kwanini unaanza kujenga mizengwe ya watu wasitaje majina? Maana hata wakiataja majina haimaniishi kuwa ndio hitimisho.
Back to ze topic, kushindwa au kufanikiwa kwa Chama Hicho hakutegemei uwepo au kutokuwepo kwa mtu bali misingi madhubuti iliyojengwa na kukuzwa kila mahali. Labda tufanye hivi, kwa mfano, CHADEMA IKISHINDA 2015, USHINDI WA AINA YOYOTE ILE (URAISI AU KUONGEZA WABUNGE) DO YOU THINK WATASEMA KUWA TUMESHINDA KWA SABABU TULIWAFUKUZA WASALITI? au tumeshindwa kwasababu wasaliti walituharibia chama........tuwe wawazi, kila chama kitavuna kutokana na matendo yake