Zitto: Wanasheria tazameni namna ya kuwajibisha ofisi ya DPP kwa uonevu wa Lema na wananchi wengine

inakiukaje s
Naunga mkono hoja, hata kama hakuna hatua zitakazochukuliwa lakini wananchi watazidi kufahamu jinsi gani awamu hii ya tano inaongoza kwa kukiuka sheria.[/QUOTE

Inakiukaje sheria awamu hii!! hivi mbona tunawakuwa wanafki sana ss watanzania jamani..! ya JK ilisemwa weeeeee ila now inakumbukwa hata hii itakuja kuonekana sana ni better kwa kweli!! na sheria ipi imepuuzwa hapa?? je wewe ungelifanya lipi ili uone imenyooka?? ufafanuzi tafadhari hapa
 
Kwa sasa TLS ni.tawi la CCM
Ninataka kusikia watakachosema kuhusu hili. Serikali imekwishaonyesha kuwa taasisi inasemwa kuingiliwa na siasa pale tu inapoonekana kuunga mawazo ya upinzani. lakini ikiunga chama tawala na hata viongozi wake wakiwa na kadi za uanachama wa chama hicho, hapo kunakuwa hakuna siasa! TLS na ZLS needs to get out of this.
 
Hongera zitto,naona una tii ule usemi usemao"if you can't beat them,join them"

GOODY

Acha kumfananisha Zito na mambo ya kijinga...Kwa akili yako unadhani Zitto alienda kujipendekeza kwa Mbowe...? Zitto anabebwa na hoja na akili zake.
 
zito kama vile amerukwa na AKILI vilema dpp anahusikaje kwenye kutoa dhamana mwendesha mashtaka anayohaki ya jupinga dhamana ya mshtakiwa na mahakama ikajiridhisha na mashiko ya ya kutokutoa dhamana shida iko wapi


Wewe ndio umerukwa na akili kabisa
 
Back
Top Bottom