Wote zito na Nahoza wameonyesha udbhaifu wao. Lakini Nahoza kachemsha zaidi. Anaonyesha kuwa kiongozi dhaifui Zaidi. Hakukuwa na sababui ya jibu alilotoa. Je tuamini kwamba zanzibar ni mkoa kama Kigoma? Hakuna lolote kuhusu chadedma katika hili. Umedhihilisha uoga. Wako kwa chadema. Umejuaje hizo gharama kwa chadema?