Zitto usituadae na mtoto wa mnajimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto usituadae na mtoto wa mnajimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ADAM MILLINGA, May 24, 2011.

 1. ADAM MILLINGA

  ADAM MILLINGA Senior Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana jf nimeingia ndani ya uwanja huu kwa nia moja yakumwambia mh zito asituadae kwa mtoto wa mnajim nilimsikia mh. Zito akisema kuwa chadema wameenda msibani kwan mtoto wa marehemu (hassan hussein yahaya) ni mkeleketwa wa chadema kwa hilo nasema hapana kwan nilimsikia mwenyewe akisema kuwa baba yake amemrithisha kila kitu je vip kuhusu kuhusu mikoba ya chama (ccm) hivyo mh. Zito asituadae na mtoto wa mnajimu.
   
 2. M

  MENDE JEURI Senior Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wewe ndiyo chundu kwelikweli!!
   
Loading...