assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
- Thread starter
- #21
babu kaisha vibaya dah!
Wewe ZZK huku ni kutupotezea muda tu, kwani huyo CAG huwa anafanya ukaguzi wa vitu gani sasa kama hizo posho hakagui?
Kesho utamwambia afanye ukaguzi wa fedha za mafuta ya magari, keshokutwa fedha ya chai maofisini.... Hivi ukaguzi anaoufanya CAG huwa ni wa vitu gani? Hizi sarakasi tu, hamna lolote
Zitto ni Chafu kuliko kiongozi yeyote wa Upinzani kwanza ni msalititi na Mbaguzi mkubwa.
naunga mkono hoja ya Mh. Zitto. posho za safari zikaguliwe.''Kashfa ya matumizi mabaya ya posho za safari ni kubwa sana sio tu miongoni mwa wabunge bali pia kwenye Serikali nzima. Ukaguzi maalumu wa posho za safari utaibua mengi ya aibu na kusaidia nchi kuokoa fedha nyingi za umma zinazofujwa. Ni hatua muhimu na nyeti kuweka uwajibikaji kwenye fedha za umma'' hii ni kauli mh zito kabwe
Yeye fedha alizopewa na BOT na mashaitwan wa kijani zimekaguliwa?''Kashfa ya matumizi mabaya ya posho za safari ni kubwa sana sio tu miongoni mwa wabunge bali pia kwenye Serikali nzima. Ukaguzi maalumu wa posho za safari utaibua mengi ya aibu na kusaidia nchi kuokoa fedha nyingi za umma zinazofujwa. Ni hatua muhimu na nyeti kuweka uwajibikaji kwenye fedha za umma'' hii ni kauli mh zito kabwe
we mshimia tumbo umeona bosi wako anavyofanya muda c mrefu shetani atadhihirisha yote
MKEO ANAMJUA UYU HAWARA?????
naunga mkono hoja ya Mh. Zitto. posho za safari zikaguliwe.
Naona mbowe alikupa sehemu ya posho yake ndugu YAHAYA na pia JOYCE MUKYA alikuletea bukta kutoka DUBAI. unajiondoa ufahamu kwenye hoja za tajiri wenu, DJ ( mzinzi)
Na bado legea mkuu ipenye sindano cha Zitto kwenye mishipa ya wafisadi
huelewi nguvu anayoshindana nayo Zitto. Ni watu wenye fweza za kutisha, wanaweza kumpoteza asipokuwa makini. wewe endelea tu kufanya kazi uliyotumwa na wahafidhina kwani mawazo yako yamekaa kibavicha. we all know.Muulizeni zile pesa alizokuwa anafanyia maigizo eti anafatilia pesa uswis alizitoa wapi na je zimekaguliwa na nani? ALISHAKUFA KISIASA HUYO KABAKI KUTAPATAPA TU!
mkuu unamuhitaji wewe?
MBOWE ACHA KUTAMAN UTAPENDA WANGAPI
endelea kujipa moyo. kwani kila mmoja na macho na anaona.Muulizeni zile pesa alizokuwa anafanyia maigizo eti anafatilia pesa uswis alizitoa wapi na je zimekaguliwa na nani? ALISHAKUFA KISIASA HUYO KABAKI KUTAPATAPA TU!