Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,061
- 144,492
Zitto kabwe
Tutazungumza na press kuweka wazi mpango wa Serikali na Bunge kuzuia Bunge kujadili hoja hii. Taarifa ya Ukaguzi Maalumu imeonyesha madudu makubwa Katika usimamizi wa fedha za umma. Serikali ya@MagufuliJP imefanya ubadhirifu wa kutisha na Spika anazuia Taarifa isije Bungeni
Zitto Kabwe
Hoja ya Tshs 1.5T Katika Taarifa ya CAG ya 2016/17 ni ubadhirifu mkubwa haijapata kutokea nchini. Spika wa @bunge_tz Job Ndugai amepokea Taarifa ya ukaguzi maalumu na amegoma kuipeleka Kamati ya PAC ili iingizwe Bungeni. Spika amezuia Kamati ya PAC kufanya kazi sababu ya 1.5T
Chanzo:Ukurasa wake wa twitter.