Zitto: Tutazungumza na waandishi kuweka wazi mpango wa Serikali na Bunge kuzuia Bunge kujadili taarifa ya ukaguzi maalumu wa trilioni 1.5

Kwenda zako huko.
Huwa najiuliza hivi una akili timamu kweli? Maana sijawai ona post yoyote ya maana kutoka kwako, wewe ushabik na majungu tu ndo zako...!

Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kutoa elimu ya uraia kwa watu wa sampuli yako ili mjitambue, jifunze kujenga hoja ndugu, kama unaunga juhudi jenga hoja, pia kama unampinga mtu yeyote pinga kwa kujenga hoja madhubuti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni suala la kawaida sana kuomba majibu ya hizo pesa na majibu yatoewe na suala liishe
Ajabu kuna watu wanatetea ujinga humu. Kama Ndugai na Serikali wanajua hakuna shida, hiyo ndio fursa ya kuthibitisha usafi wa serikali dhidi ya hizo tuhuma badala ya kuzigeuza geuza.

Watanzania tuache ujinga, kutetea ujinga ni upumbavu. Sheria za matumizi ya fedha za serikali lazima ziheshimiwe na kufuatwa na watendaji wote wa serikali.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zito shikilia hapohapo......

Lisu kamatia hapohapo.

Mpaka 2020. Kwisha habari yao.
 
Zitto nilimdharau tokea wakati ule alipotangaza kwa kuna baa la njaa la karne na nchi ina akiba ya tani tisini tu
 
Huyu naye kawa kama panya alie ingiliwa na siafu
anaruka ruka hovyo
mara hili mara lile
hajamaliza hili karukia lile
Vibendera nao hamjapata hitimisho wa Jana mmesha rukia lakesho
yaani anawapeleka zaidi ya Upepo unavyo wazungusha!!
Amakweli nchi ina kizazi cha hovyo kuwahi tokea
 
Zitto kabwe

Tutazungumza na press kuweka wazi mpango wa Serikali na Bunge kuzuia Bunge kujadili hoja hii. Taarifa ya Ukaguzi Maalumu imeonyesha madudu makubwa Katika usimamizi wa fedha za umma. Serikali ya@MagufuliJP imefanya ubadhirifu wa kutisha na Spika anazuia Taarifa isije Bungeni

Zitto Kabwe

Hoja ya Tshs 1.5T Katika Taarifa ya CAG ya 2016/17 ni ubadhirifu mkubwa haijapata kutokea nchini. Spika wa @bunge_tz Job Ndugai amepokea Taarifa ya ukaguzi maalumu na amegoma kuipeleka Kamati ya PAC ili iingizwe Bungeni. Spika amezuia Kamati ya PAC kufanya kazi sababu ya 1.5T

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter.
Huku Hard Talk huku 1.5Tril..
CCM mpaka boxer ziwavuke mwaka huu.
 
Back
Top Bottom