Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo amesema ni jambo linaofahamika kwamba Mashirika mengi ya Ndege yanapata hasara Duniani na na biashara yoyote inayofufuliwa haiwezi kuanza kupata faida hapohapo
Zitto amesema “tatizo tulilonalo ni manunuzi ya Ndege na utaratibu uliotumika. Tulikuwa tunafanya propaganda za kwamba tunafufua Shirika la Ndege, shirika linapata faida, shirika linalipa gawio Serikalini"
Ameongeza kuwa kwa mujibu wa ripoti ya CAG kodi za Wananchi ndizo zinatumika kuendesha ATCL na bado pamoja na fedha zote zilizotolewa bado Shirika halijaweza kujiendesha vizuri