Zitto: Tulikuwa tunafanya propaganda za kwamba tunafufua Shirika la Ndege

Ukikosa sera utaishia kudandia wa vyama vingine, yeye angetuambia msimamo wa chama chake ni upi kuhusu ATCL? je watauza ndege zote na kuvunja ATCL ili tutegemee ndege za mataifa mengine?
Fantastic!
KIla siku mtu anasimama kukosoa lakini hana hoja mbadala. Uko sahihi, thumb-up! Wanaishia kutoa statement za jumla eti mazingira ya biashara ni mabaya. Sema nini kiondolewe ili umma uone uhalali wa malalamiko yako! Yaani mtu anafikia hatua anataka asilipe kodi, biashara ikue. Anasingizia amewaajili watu wengi. Halafu ukiuliza waajiliwa wanalipwa ngapi, elfu 80 au laki moja! Stupid!
 
Vyama vingi vya siasa hapa Tanzania vinatunyima haki sisi wananchi ya kuchagua sera inayofaa kuongoza nchi, vingi vimebaki kulalamia mambo ambayo hayana tija kwa mwanachi au maendelo ya nchi. Unakuta mwanchama mmoja anakamatwa kwa kosa fulani, chama chote kinahangaika na issue ya mwanachama mmoja na kuacha mustakabali wa taifa zima.
 
Back
Top Bottom