Zitto tulia, acha upotoshaji, omba msamaha

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
250
Reaction score
409
Zitto tulia, acha upotoshaji

Na Hamis Shimye

SIASA za Tanzania kila kukicha zinaibua machizi wapya kwenye siasa na safari hii.

Kitendo cha kuandika Twitter na kueneza habari ya uongo kuwa kuna mpango wa wagombea wa Urais wa vyama vya upinzani watakatwa sio jambo la ukweli na linapaswa kukemewa na wanasiasa wote.

Anachokifanya Zitto ni mpango katika strategia ya siasa ya kutengeneza agenda ya kuleta wasiwasi kwenye jamii ili ione kuna uonevu mkubwa utakaowezwa kufanywa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) jambo ambalo si kweli hasa ikizingatie ndio kwanza vyama vinachukua fomu za kuwania uteuzi wa Urais.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) inaendesha mambo yake kiutaratibu na haina shinikizo kutoka kwa mtawala au vyama vya siasa na ndio maana kila Chama kimepewa fomu hadharani tena na Mwenyekiti mwenyewe wa tume, Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage na hakuna chama kilichopewa fomu ya kificho.

Anachofanya Zitto Kabwe sio siasa za ustaarabu na anapaswa kuchukuliwa hatua kwa kueleza alipopata hizo taarifa kwa kuwa huu ni uchochezi wa kiwango kikubwa hasa wakati huu wa uchaguzi mkuu ambao unakuwa na mambo mengi kwa wanasiasa kutumia fursa hiyo kuleta mpasuko kwa jamii.

Tume ya Uchaguzi ni chombo huru kilichoanzishwa mwaka 1993 chini ya ibara ya 74(1) ya Katiba ya nchi ya mwaka 1977. Ambako kwa tafsiri ya kawaida kiko huru na kinajiendesha kwa uwazi na kila mtanzania anashuhudia.

Zitto anapaswa kuona thamani na utu wa mtanzania ni bora na hichi anachofanya sio sahihi kwanza ni matumizi mabaya ya mtandao na pili anafanya uchochezi mkubwa ambao una madhara makubwa kwa taifa hapo baadae.

Embu chukulia mfano, kugombea Urais kuna sifa zake ambazo zimewekwa wazi kikatibu na endapo wagombea waliochukua fomu wakakosa hivyo vigezo anataka walazimishwe kuchaguliwa kuwa marais.

Katiba imeweka wazi sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Rais katika sheria ya 1992 Na. 4, ambazo zimeanisha sifa hizo. Sasa tujiulize Zitto anataka tuamini hata wasiokuwa na sifa zilizotajwa kikatiba wagombee tu Urais.

Huu ni wakati wa wanasiasa kuchunga ndimi zao hasa wanachosema kiwe na uhakika na si kuzusha taharuki na kuleta wasiwasi kwa umma kwa kuwa wanachofanya si sehemu ya kuleta Umoja bali wako kwa ajili ya mpasuko.

Uchaguzi ni kitendo kinachofanyika kila baada ya miaka mitano, Zitto anapaswa kuiona Tanzania ni bora na inayopaswa kuishi zaidi kwa miaka mingi ijayo kwa kulinda ndimi yake au mkono wake kwa kile anachokiandika kiwe na maslahi kwa taifa.

Uwakala wa mabeberu anaoufanya hauna faida kwa kuwa anataka kuibomoa nchi iliyomkuza na kumsomesha na ninaamini hata mwisho wa safari yake itakuwa Tanzania, hivyo asituharibie nchi yetu nzuri ambao wazee wetu waliipigania kwa nguvu kubwa.

IMG-20200812-WA0219.jpg
IMG-20200812-WA0178.jpg
 
huyu jamaa wanaomwamini mpaka leo wapo? kuanzoa amzushie jiwe ugonjwa kipindi kile na kuingia kichwa kichwa issue ya kura ya Tanzania kwa kenya kwenye kiti UN nikaona hamna kitu hapo
 
Tume huru iko wapi hapo mbona tume ya Warioba iliyoundwa na seriakali ya CCM ilisema tume haiko huru Kwani kuungwa kwa mujibu wa sheria ndiyo kuwa huru lazima uwe na matatizo ya uelewa siyo bure. Zito ametoa angalizo kama kuna mchezo mchafu Tume iache huo mchezo wake italeta vurugu. Kwani kama Sifa ziko kwenye katiba inamaana hiyo tume pekee ndiyo inafahamu katiba vyama havifahamu hiyo katiba hadi vipitishe wagombea wasio na Sifa. Chonde Chonde NEC msitupeleke tusikotaka kwenda.
 
Tuandikie nyingine kama hii ya Lissu.

Lissu kasema akiibiwa kura kitanuka.

Anaruhusiwa kusema hivyo au akisema hivyo nongwa?
 
Zitto ni mtu mkubwa ana mizizi ktk siasa. Wewe nani hata umpinge Zitto?
 
Acha siasa zifanyike. CCM wamefanya siasa wenyewe kwa miaka takriban 5, sasa mtu mmoja tu aitwae Tundu Antipas Lissu hata hajaanza kufanya siasa tayari ccm wanaweweseka! Hii inashangaza mno kwamba ccm hawajiamini pamoja na yote wanayodi wamewafanyia watu kwa miaka 5! Kweli demokrasia imekuwa chungu sana kwa awamu hii. Magazeti, TV na redio zote mmeziteka kwa woga wenu, lazima kuna kitu mnaficha na ndicho tunataka kujua.
 
SIASA za Tanzania kila kukicha zinaibua machizi wapya kwenye siasa na safari hii.

Kitendo cha kuandika Twitter na kueneza habari ya uongo kuwa kuna mpango wa wagombea wa Urais wa vyama vya upinzani watakatwa sio jambo la ukweli na linapaswa kukemewa na wanasiasa wote.

Anachokifanya Zitto ni mpango katika strategia ya siasa ya kutengeneza agenda ya kuleta wasiwasi kwenye jamii ili ione kuna uonevu mkubwa utakaowezwa kufanywa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) jambo ambalo si kweli hasa ikizingatie ndio kwanza vyama vinachukua fomu za kuwania uteuzi wa Urais.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) inaendesha mambo yake kiutaratibu na haina shinikizo kutoka kwa mtawala au vyama vya siasa na ndio maana kila Chama kimepewa fomu hadharani tena na Mwenyekiti mwenyewe wa tume, Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage na hakuna chama kilichopewa fomu ya kificho.

Anachofanya Zitto Kabwe sio siasa za ustaarabu na anapaswa kuchukuliwa hatua kwa kueleza alipopata hizo taarifa kwa kuwa huu ni uchochezi wa kiwango kikubwa hasa wakati huu wa uchaguzi mkuu ambao unakuwa na mambo mengi kwa wanasiasa kutumia fursa hiyo kuleta mpasuko kwa jamii.

Tume ya Uchaguzi ni chombo huru kilichoanzishwa mwaka 1993 chini ya ibara ya 74(1) ya Katiba ya nchi ya mwaka 1977. Ambako kwa tafsiri ya kawaida kiko huru na kinajiendesha kwa uwazi na kila mtanzania anashuhudia.

Zitto anapaswa kuona thamani na utu wa mtanzania ni bora na hichi anachofanya sio sahihi kwanza ni matumizi mabaya ya mtandao na pili anafanya uchochezi mkubwa ambao una madhara makubwa kwa taifa hapo baadae.

Embu chukulia mfano, kugombea Urais kuna sifa zake ambazo zimewekwa wazi kikatibu na endapo wagombea waliochukua fomu wakakosa hivyo vigezo anataka walazimishwe kuchaguliwa kuwa marais.

Katiba imeweka wazi sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Rais katika sheria ya 1992 Na. 4, ambazo zimeanisha sifa hizo. Sasa tujiulize Zitto anataka tuamini hata wasiokuwa na sifa zilizotajwa kikatiba wagombee tu Urais.

Huu ni wakati wa wanasiasa kuchunga ndimi zao hasa wanachosema kiwe na uhakika na si kuzusha taharuki na kuleta wasiwasi kwa umma kwa kuwa wanachofanya si sehemu ya kuleta Umoja bali wako kwa ajili ya mpasuko.

Uchaguzi ni kitendo kinachofanyika kila baada ya miaka mitano, Zitto anapaswa kuiona Tanzania ni bora na inayopaswa kuishi zaidi kwa miaka mingi ijayo kwa kulinda ndimi yake au mkono wake kwa kile anachokiandika kiwe na maslahi kwa taifa.

Uwakala wa mabeberu anaoufanya hauna faida kwa kuwa anataka kuibomoa nchi iliyomkuza na kumsomesha na ninaamini hata mwisho wa safari yake itakuwa Tanzania, hivyo asituharibie nchi yetu nzuri ambao wazee wetu waliipigania kwa nguvu kubwa.
 
Kumbe limwakibinga ni poyoyo hivi. Hivi Magu akimwambia mwenyekiti simtaki membe au Lissu. Yule Kaijage anachakusema.

Kwakifupi safari Mkifanya hivo Basi Police mjiandae kutuzika baadhi ya wapinzani mbaki na CCm yenu na Nchi yenu mliyopendelewa na Mungu. Ccm Wapinzani yawezekana Mungu alitushusha kwa Bahati mbaya.
SIASA za Tanzania kila kukicha zinaibua machizi wapya kwenye siasa na safari hii, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka na kuonyesha uchizi wake hadharani.

Kitendo cha kuandika Twitter na kueneza habari ya uongo kuwa kuna mpango wa wagombea wa Urais wa vyama vya upinzani watakatwa sio jambo la ukweli na linapaswa kukemewa na wanasiasa wote.

Anachokifanya Zitto ni mpango katika strategia ya siasa ya kutengeneza agenda ya kuleta wasiwasi kwenye jamii ili ione kuna uonevu mkubwa utakaowezwa kufanywa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) jambo ambalo si kweli hasa ikizingatie ndio kwanza vyama vinachukua fomu za kuwania uteuzi wa Urais.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) inaendesha mambo yake kiutaratibu na haina shinikizo kutoka kwa mtawala au vyama vya siasa na ndio maana kila Chama kimepewa fomu hadharani tena na Mwenyekiti mwenyewe wa tume, Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage na hakuna chama kilichopewa fomu ya kificho.

Anachofanya Zitto Kabwe sio siasa za ustaarabu na anapaswa kuchukuliwa hatua kwa kueleza alipopata hizo taarifa kwa kuwa huu ni uchochezi wa kiwango kikubwa hasa wakati huu wa uchaguzi mkuu ambao unakuwa na mambo mengi kwa wanasiasa kutumia fursa hiyo kuleta mpasuko kwa jamii.

Tume ya Uchaguzi ni chombo huru kilichoanzishwa mwaka 1993 chini ya ibara ya 74(1) ya Katiba ya nchi ya mwaka 1977. Ambako kwa tafsiri ya kawaida kiko huru na kinajiendesha kwa uwazi na kila mtanzania anashuhudia.

Zitto anapaswa kuona thamani na utu wa mtanzania ni bora na hichi anachofanya sio sahihi kwanza ni matumizi mabaya ya mtandao na pili anafanya uchochezi mkubwa ambao una madhara makubwa kwa taifa hapo baadae.

Embu chukulia mfano, kugombea Urais kuna sifa zake ambazo zimewekwa wazi kikatibu na endapo wagombea waliochukua fomu wakakosa hivyo vigezo anataka walazimishwe kuchaguliwa kuwa marais.

Katiba imeweka wazi sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Rais katika sheria ya 1992 Na. 4, ambazo zimeanisha sifa hizo. Sasa tujiulize Zitto anataka tuamini hata wasiokuwa na sifa zilizotajwa kikatiba wagombee tu Urais.

Huu ni wakati wa wanasiasa kuchunga ndimi zao hasa wanachosema kiwe na uhakika na si kuzusha taharuki na kuleta wasiwasi kwa umma kwa kuwa wanachofanya si sehemu ya kuleta Umoja bali wako kwa ajili ya mpasuko.

Uchaguzi ni kitendo kinachofanyika kila baada ya miaka mitano, Zitto anapaswa kuiona Tanzania ni bora na inayopaswa kuishi zaidi kwa miaka mingi ijayo kwa kulinda ndimi yake au mkono wake kwa kile anachokiandika kiwe na maslahi kwa taifa.

Uwakala wa mabeberu anaoufanya hauna faida kwa kuwa anataka kuibomoa nchi iliyomkuza na kumsomesha na ninaamini hata mwisho wa safari yake itakuwa Tanzania, hivyo asituharibie nchi yetu nzuri ambao wazee wetu waliipigania kwa nguvu kubwa.
 
We waambie wakose sifa za kugombea halafu uwadanganye kuwa watakuwa salama! Tume ipo kwa mjibu wa sheria vyama vyetu vya upinzani mnaokota okota wagombea waliopoteza sifa za kugombea mkidhani watapata rehema??

Zito jiandae kujiondoa wagombea wako kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa 2020-2025. Haki ndio hiyo sheria lazima izingatiwe.

Mfano kamili ni mgombea uraisi kupitia chadema pingamizi lake lipo wazi ,kilichomuondolea sifa ya kuwa mbunge ni insue ya maadili, je! Mnategemea sheria ya itamwacha tu kisa ni mgombea uraisi??? Jiandaeni kulima michikichi
 
Upinzani wa Tanzania huwa umekaa kijinga Sana na huwa unajichimbia kauli wenyewe.

Sasa Kama huyu anaeanza kufokea tume huru wakati ndo bado inatoa fomu za Wagombea haraka yake Ni ipi?

Je tayari tume ishaanza mcahakato wa kupima sifa za Wagombea kisheria?
Je hata kama sifa za kisheria hazimuruhusu mtu kugombea urais au ubunge asienguliwe kisa anatoka chama Cha Upinzani?

Acha Sheria ifanye Kazi yake watakaopita watapitishwa kwa Sheria na zitawekwa wazi na watakaokatwa watakatwa kwa Sheria na zitawekwa wazi shida iko wapi ZZK?
 
Eti tume huru, wewe una akili kweli au bora tu una umbile la kibinadamu.

Being a cretin is not a mistake but to expose your silliness is a grave mistake.
 
SIASA za Tanzania kila kukicha zinaibua machizi wapya kwenye siasa na safari hii, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka na kuonyesha uchizi wake hadharani.

Kitendo cha kuandika Twitter na kueneza habari ya uongo kuwa kuna mpango wa wagombea wa Urais wa vyama vya upinzani watakatwa sio jambo la ukweli na linapaswa kukemewa na wanasiasa wote.

Anachokifanya Zitto ni mpango katika strategia ya siasa ya kutengeneza agenda ya kuleta wasiwasi kwenye jamii ili ione kuna uonevu mkubwa utakaowezwa kufanywa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) jambo ambalo si kweli hasa ikizingatie ndio kwanza vyama vinachukua fomu za kuwania uteuzi wa Urais.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) inaendesha mambo yake kiutaratibu na haina shinikizo kutoka kwa mtawala au vyama vya siasa na ndio maana kila Chama kimepewa fomu hadharani tena na Mwenyekiti mwenyewe wa tume, Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage na hakuna chama kilichopewa fomu ya kificho.

Anachofanya Zitto Kabwe sio siasa za ustaarabu na anapaswa kuchukuliwa hatua kwa kueleza alipopata hizo taarifa kwa kuwa huu ni uchochezi wa kiwango kikubwa hasa wakati huu wa uchaguzi mkuu ambao unakuwa na mambo mengi kwa wanasiasa kutumia fursa hiyo kuleta mpasuko kwa jamii.

Tume ya Uchaguzi ni chombo huru kilichoanzishwa mwaka 1993 chini ya ibara ya 74(1) ya Katiba ya nchi ya mwaka 1977. Ambako kwa tafsiri ya kawaida kiko huru na kinajiendesha kwa uwazi na kila mtanzania anashuhudia.

Zitto anapaswa kuona thamani na utu wa mtanzania ni bora na hichi anachofanya sio sahihi kwanza ni matumizi mabaya ya mtandao na pili anafanya uchochezi mkubwa ambao una madhara makubwa kwa taifa hapo baadae.

Embu chukulia mfano, kugombea Urais kuna sifa zake ambazo zimewekwa wazi kikatibu na endapo wagombea waliochukua fomu wakakosa hivyo vigezo anataka walazimishwe kuchaguliwa kuwa marais.

Katiba imeweka wazi sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Rais katika sheria ya 1992 Na. 4, ambazo zimeanisha sifa hizo. Sasa tujiulize Zitto anataka tuamini hata wasiokuwa na sifa zilizotajwa kikatiba wagombee tu Urais.

Huu ni wakati wa wanasiasa kuchunga ndimi zao hasa wanachosema kiwe na uhakika na si kuzusha taharuki na kuleta wasiwasi kwa umma kwa kuwa wanachofanya si sehemu ya kuleta Umoja bali wako kwa ajili ya mpasuko.

Uchaguzi ni kitendo kinachofanyika kila baada ya miaka mitano, Zitto anapaswa kuiona Tanzania ni bora na inayopaswa kuishi zaidi kwa miaka mingi ijayo kwa kulinda ndimi yake au mkono wake kwa kile anachokiandika kiwe na maslahi kwa taifa.

Uwakala wa mabeberu anaoufanya hauna faida kwa kuwa anataka kuibomoa nchi iliyomkuza na kumsomesha na ninaamini hata mwisho wa safari yake itakuwa Tanzania, hivyo asituharibie nchi yetu nzuri ambao wazee wetu waliipigania kwa nguvu kubwa.
swali kwako ndugu: uchaguzi wa serekali za mitaa mwaka jana kulitokea nini?
 
Back
Top Bottom