Zitto: Tanzania Bara inaiminya Zanzibar

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Screenshot_20200913-182827.png
 
hilo liko wazi

Wazanzibar walitaka kujenga bandari nyingine, Serikali ya muungano ikawazuia kwa madai kuwa bandari hiyo itaiua bandari ya Dar

Wazanzibar hawajawahi kupata gawio la pesa za Muungano (4% +) .

Wazanzibar hawawezi kuvua kwenye bahari kuu iliyoko Kwao mpaka waje waombe kwenye serikali ya muungano

Wazanzibar hawawezi kukopa nje kuebdekeza kilimo chao cha karufuu, au kuhudumia afya (siyo jambo la muungan) mpaka kwanza waje kupiga magoti kwa serikali ya muungano itoe kibali ikope

Wazanzibar hawawezi kuchagua viongozi wao kwa uhuru, ni mpaka sisi tuwapelekee majeshi ya kusimika vibaraka wetu tunaowateua dodoma

Sasa wewe ungekuwa mzanzibari usingetaka muungano wa haki?
 
Mnadanganya watu kuwa CCM inawachagulia wazanzibari mgombea, niwaulize huyo maalim Sefu mbona naye amechaguliwa na ACT bara? Mgombea wa CHADEMA naye pia alichaguliwa Dsm.

Ukweli ni kuwa kutokana na muundo wa vyama vyote vya siasa, wagombea wao wote wa urais wa Zanzibar wanateuliwa huku bara wakati wa aidha mikutano mikuu au halmashauri/ baraza kuu ambayo wajumbe wake wengi wanatoka bara. Zitto na Lissu kwa sababu kazi yao ni kuimba kama kasuku ndio maana wanadai CCM inawachagulia wazanzibari jambi ambalo si kweli.
 
Ameteuliwa na wazanzibar wenyewe, ACT imebariki tu yeye kugombea.

Hussein Mwinyi CCM wenzie wa Zanzibar walimkataa, kateuliwa huku bara

Pia ACT haina majeshi ya kufanya "ujecha" Zanzibar.

Zanzibar wameporwa chaguzi zao toka mwaka 1995
 
hilo liko wazi

Wazanzibar walitaka kujenga bandari nyingine, Serikali ya muungano ikawazuia kwa madai kuwa bandari hiyo itaiua bandari ya Dar

Wazanzibar hawajawahi kupata gawio la pesa za Muungano (4% +) .

Wazanzibar hawawezi kuvua kwenye bahari kuu iliyoko Kwao mpaka waje waombe kwenye serikali ya muungano

Wazanzibar hawawezi kukopa nje kuebdekeza kilimo chao cha karufuu, au kuhudumia afya (siyo jambo la muungan) mpaka kwanza waje kupiga magoti kwa serikali ya muungano itoe kibali ikope

Wazanzibar hawawezi kuchagua viongozi wao kwa uhuru, ni mpaka sisi tuwapelekee majeshi ya kusimika vibaraka wetu tunaowateua dodoma

Sasa wewe ungekuwa mzanzibari usingetaka muungano wa haki?
Hakuna wa kujibu hizi nondo
 
Kusema mapungufu na kuyafanyia kazini ni moja ya njia kuimarisha muungano.

Huwezi kuimarisha muungano wakati wengine wananung'unika, ndio maana kuna wizara ya muungano pia.

Baadhi ya watu walivyokuwa na akili fupi ni kwamba mtu akikosoa mambo yaliyo katika muungano wako wanakimbilia kumshambulia na kushupaza shingo ' tutalinda muungano' kwa nguvu zote, hakuna muungano unaodumu kwa nguvu bali maelewano. Sasa unadhani ukitumia nguvu baada ya miaka kadhaa unatengeneza hisia gani kuhusu muungano hasa upande wa Zanzibar.

Siku watachoka wataingia barabarani watauvunja kama walivyomuondoa mwarabu. Waswahili wanasema Akili kumkichwa

Tuskilize kero za Muungano tuzitatue
 
Katiba mpya ilikuwa ndiyo instrument ya maana kuulinda muungano, lakini CCM waaleta ujuaji wa kuikataa katiba mpya!

Sasa waache CCM washupalie muundo wa muungano huu wa sasa isha uje uone siku moja wazanzibar waingie mabarabarani kuukataa moja kwa moja kisha uone jama kuna jeshi la kuulazimisha huo muungano!
 
hilo liko wazi

Wazanzibar walitaka kujenga bandari nyingine, Serikali ya muungano ikawazuia kwa madai kuwa bandari hiyo itaiua bandari ya Dar

Wazanzibar hawajawahi kupata gawio la pesa za Muungano (4% +) .

Wazanzibar hawawezi kuvua kwenye bahari kuu iliyoko Kwao mpaka waje waombe kwenye serikali ya muungano

Wazanzibar hawawezi kukopa nje kuebdekeza kilimo chao cha karufuu, au kuhudumia afya (siyo jambo la muungan) mpaka kwanza waje kupiga magoti kwa serikali ya muungano itoe kibali ikope

Wazanzibar hawawezi kuchagua viongozi wao kwa uhuru, ni mpaka sisi tuwapelekee majeshi ya kusimika vibaraka wetu tunaowateua dodoma

Sasa wewe ungekuwa mzanzibari usingetaka muungano wa haki?
Hivi bandari ni suala la muungano au sio?
Fedha sio suala muungano?
Maana masuala ya muungano yanahusu JMT. Kwa hiyo masuala ya bandari na mikopo ya fedha ni masuala ya JMT.

Kuhusu gawio hapo unadanganya. Maana hata umeme tu JMT ilisamehe deni la Zanzibar.

Nec ya Ccm ina wazanzibar na watanzania bara. Huwezi kusema wanawachagulia kiongozi wakati Nec inawajumbe toka bara na visiwani.
 
Katika mambo ambayo sikubaliani na wapinzani ni suala la Zanzibar.

Tanganyika au ukipenda Tanzania bara inabeba mzigo mkubwa wa gharama ambazo Zanzibar ilitakiwa kuzibeba.Sijaona mchango wa Zanzibar katika kugharamia jeshi la Police,JWTZ na shughuli za bunge la muungano.
 
Ameteuliwa na wazanzibar wenyewe, ACT imebariki tu yeye kugombea.

Hussein Mwinyi CCM wenzie wa Zanzibar walimkataa, kateuliwa huku bara

Pia ACT haina majeshi ya kufanya "ujecha" Zanzibar.

Zanzibar wameporwa chaguzi zao toka mwaka 1995
Kwa nini ACT ihangaike kubariki? Kwa nini uteuzi wa ACT usiishie huko huko Zanzibar?

Hata Mwinyi aliteuliwa na wazanzibari na Halmashauri kuu ya CCM ilibariki wakiwemo wajumbe toka Zanzibar.
 
Wewe unaijua historia ya Zanzibar?

2. Jumbe aliwekwa madarakani na Nyerere hakupigiwa kura na Wazanzibar

3. Ali Hassan Mwinyi aliwekwa madarakani na Nyerere, hakupigiwa kura na Wazanzibari

4. Idrissa Abdul Wakil alikataliwa na Wazabzibar CCM ikamshindisha kimagumashi

5. Salmin Amour alikataliwa na Wazanzibar tukampa majeshi ya kumlinda

6. Karume Junior alikataliwa na wagombea wa CCM Zanzibar, wao walimtaka Ghalib bilal, CCM ya dodoma ikamkata Ghalib ikawapa Karume. Karume akashindwa na maalim kwenye Sanduku la kura, Sisi tuama majeshi tukamsimika yeye

7. Shein alipigwa asubuhi na mapema na Maalim Seif, lakini sisi huku bara tukampa majeshi ya kumuweka yeye kwa msaada wa Jecha!
 
Back
Top Bottom