Acha ujinga, uko mahali pa kuweza kuisemea serikali kuwa wamekopa au hapana. Na kama wamekopa nini faida yake dhidi ya tuhuma za Zitto.Ndio maana upinzani umekufa hakuna hoja
Jk aliacha mipango ya kukopa exim tutaikataa moja ya sababu ikiwa riba,Hii na ile tuliyoikataa ipi nafuuTRA hawawezi kukusanya pesa zinazohitajika hapa nchini kwa hiyo wahisani na banks lazima wachip in; na ukweli huu rais anaufahamu.
Za kuambiwa changanya,,,kusema hata Dr shika alisema mabilioni yake yako njiani Leo mwaka wa PILI labda yanatoka jupita.si alisema ni hela za makusanyo ya TRA?
No, huyo ajaye abadili tuu vifungu vya katiba na kuondoa kinga ili waliokuwa madarakani na kufanya maamuzi mabovu washtakiwe na kuadhibiwa. Huwezi kuwa mbishi na kuiponza nchi nzima halafu ujiondokee hivihiviRaisi ajaye baada ya huyu ajiandae kisaikolojia maana haya madeni si mchezo.
Ukiwa mpinzani dhambi zako zote hutakasika na kuwa nyeupe kama theluji
Zito naye kapoteza uelekeo.
Ukikopa yes ni fedha zako umetumia na utalipa. Sasa kuna jipya gani hapo?
Zito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Ndio maana upinzani umekufa hakuna hoja
Jk aliacha mipango ya kukopa exim tutaikataa moja ya sababu ikiwa riba,Hii na ile tuliyoikataa ipi nafuu
Acha ujinga ndugu, ukikopa ni pesa zako? Je usipolipa? Ni nani asiyejua kwamba tuna deni kubwa la taifa lililoanza toka enzi za Nyerere? Je kote huko tulikuwa tunatumia hela zetu kisa tulikopa?
Athari za huo mkopo ni nini? Mbona haja changa ua?
si alisema ni hela za makusanyo ya TRA?
Nimeandika mambo mengi kwenye mistari michache....ndio maana nimeweka alama hizi....hivyo jiongezeKwani sheria za kukopa zinasemaje, kwamba wapitie bungeni au? Ili tujue kama sheria zimevunjwa tujadili uvunjaji wa sheria
Ukikopa pesa ni zako, usipolipa huachiwi hivi hivi tu kwamba umeshindwa kulipa , lazima ulipe ndiyo maana unaweka bonds kabla ya kukopa. Kukopa maana yake nikutumia pesa zako in advance. Mfano unaweza chukua mshahara wako ukatanguliziwa mapema kabla ya mwisho wa mwezi kufika maana utazifanyia kazi. ama ukachukua tenda ukavuta advance mapema hata kabla yakuanza kazi, lakini mwisho wa siku utazifanyia kazi ndo mana ya pesa yako.
Ujinga ni kivumishi ambata ambacho hakina sababu madhara ktk ujengaji hoja na ukweli ulivyo.
Jamani tunajenga kwa fedha zetu za ndani " wia dona kantri""Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB