Zitto: Serikali ya Magufuli imekopa zaidi ya tril 3 toka uswisi kufadhiri SGR na Stiglers yenye riba kubwa

  • Thread starter Return Of Undertaker
  • Start date
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Messages
7,429
Points
2,000
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2007
7,429 2,000
Acha kupiga siasa mfu hapa jukwaani, nimekuambia tuna madeni toka enzi za Nyerere na hatujalipa mpaka tumefikia mahali pa kuomba kusamehewa, je pesa zako utaomba usamehewe? Halafu usichanganye advance payment na mkopo. Kama hujui tofauti ya mkopo na advance payment rudi shule ukajifunze. Na sasa hivi elimu ni bure hivyo hakuna kisingizio.
sawa kiongozi
 
G

gongolamboto

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Messages
890
Points
500
G

gongolamboto

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2011
890 500
huo mkopo wake binafsi hauna effect yoyote kwa umma kuliko huo mwingine
Amekopa kwenye vyombo vya umma. Effect yake ni wastaafu kukosa mafao. Nadhani haihitaji akili kubwa kuiona
 
M

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Messages
4,955
Points
2,000
M

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2011
4,955 2,000
Zito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
NSSF haiwezi wala haithubutu kukopesha chama cha kisiasa zaidi ya ccm. Huu ni uongo tena wenye ukurutu
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
5,367
Points
2,000
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
5,367 2,000
"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Karudi kwa mabeberu tena?? Maskini hana aibu.
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
35,891
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
35,891 2,000
"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Ndege zilinunuliwa cash tukalalamika kwanini tusichukue mkopo, SGR ilivyosemekana inajengwa kwa hela za ndani tukalalamika kwanini miradi mikubwa inatumia hela nyingi tusikope! Sasa imegundulika ni hela za mkopo napo ni tatizo!
 
Los técnicos

Los técnicos

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Messages
1,686
Points
2,000
Los técnicos

Los técnicos

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2014
1,686 2,000
Zito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Mkopo anaozungumzia Zito una uhusiano na sisi watz moja kwa moja kwani serikali isipolipa itawajibishwa nchi na inaweza kuathiri uchumi wetu.

Lakini huo mkopo wa Zito hauna mahusiano yoyote na watz kwani ni mkopo binafsi akishindwa kulipa mkopaji atawajibishwa.

Kwa utangulizi huo ninaona mchangia mada huna nia yenye afya kwa wasomaji ila kuwapumbazisha wawe wapumbavu wasiweze kutumia bongo zao kuchanganua.
Tetea maelezo yako kama ukishundwa nadhani utakuwa ni sehemu ya wale mh Rais anao waita wapumbav
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,408
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,408 2,000
"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
kufadhiri = kufadhili
 
D

dahalani

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
2,507
Points
2,000
D

dahalani

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
2,507 2,000
kweli huyu jamaa ni takataka kweli eti mkopo wa mtu unaalinganisha na wa serekali we jamaa ni mbwa kweli mkopo wa mtu hautuhusu sisi
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
40,105
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
40,105 2,000
Zito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Huo mkopo wake binafsi kama una madhara atapata hayo madhara yeye binafsi.

Tujadili huu mkopo wa taifa.
 
C

Chintu

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Messages
4,329
Points
2,000
C

Chintu

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2011
4,329 2,000
"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Kwani ilitakiwa ikope ngapi ndo isingekuwa ghali?
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
112,314
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
112,314 2,000
"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Pesa zetu za ndani hizo
 
Forum statistics

Threads 1,307,094
Members 502,332
Posts 31,601,440
Top