Zitto: Serikali ya Magufuli imekopa zaidi ya tril 3 toka uswisi kufadhiri SGR na Stiglers yenye riba kubwa

No Problem, zitarudi tuu maana safari za makao makuu zitakuwa nyingi sana. Congrats for the efforts
 
Magufuri hatafuti maendeleo ya nchi bali legacy yake, ni mbinafsi kupindukia
Na huu ndio ukweli mwisho wa siku wanaemtetea Magufuli hawatetei aliyoyafanya kwa maslahi mapana ya nchi Bali wameishia kuongelea legacy. Upuuzi mtupu.

Kitu linaanzisha miradi na hakina hela linaishia kudanganya kwamba ametoa kwenye Kodi heri huyu anayesema wazi kwamba hii miradi haiwezekani kumalizika bila mikopo yenye riba nafuu.
 
Angetaja benki alizokopa na pesa aliyokopa kwa kila benki, ingeleta maana. Bila hayo habari inaonekana ya kijiweni tu. Jamii forum sasa hivi inapoteza maana kwa kutoa taarifa zisizo na ushahidi
 
Back
Top Bottom