hii hoja haina mantiki yoyote kwa maana hii nchi imekwishatawaliwa na marais wanne na kili mmoja wao hakuna hata mmoja aliyeweza kuondoa kero za watanzania wote Kwa hiyo mnachosema kuhusu jk ni kama mnamuonea tu na hasa baada ya huyu rusputini wenu kukosa uraisHivi Malaria Sugu yupo wapi pamoja na wenzake waje wajibu hii hoja!!!?
Kwa hiyo atamaliza muda bila kutatua haya matatizo kisa ameyakuta?acheni kumwonea jemedari wetu mheshimiwa kikwete matatizo yaliyopo aliyakuta na atamaliza muda wake nyie endeleeni kupiga domo tu
hii hoja haina mantiki yoyote kwa maana hii nchi imekwishatawaliwa na marais wanne na kili mmoja wao hakuna hata mmoja aliyeweza kuondoa kero za watanzania wote Kwa hiyo mnachosema kuhusu jk ni kama mnamuonea tu na hasa baada ya huyu rusputini wenu kukosa urais
Hili jambo ilipaswa tyulifanye mwaka jana...Mkuu hata wakigoma, issue ni kwamba hazina hakuna hela... wametumia zote na kodi hatukusanyi inavotakiwa... nafikiri wazo la kuwatoa hawa jamaa kabla hatujafa kwa njaa lifikiriwe kwa umakini sana!!
hii hoja haina mantiki yoyote kwa maana hii nchi imekwishatawaliwa na marais wanne na kili mmoja wao hakuna hata mmoja aliyeweza kuondoa kero za watanzania wote Kwa hiyo mnachosema kuhusu jk ni kama mnamuonea tu na hasa baada ya huyu rusputini wenu kukosa urais
Hujajibi bado hoja, je ni kweli serikali ya JK haina pesa ya kulipa mishahara watumishi wake mpaka inakopa kwenye mabenki? Atujauliza serikali ya Mwinyi, Nyerere wala Mkapa..
Tatizo la Tanzania ni tatizo kubwa mno, kwa muono wangu. Tatizo linakuja kwamba nchi yetu ni tegemezi mno na wanaotegemewa sahizi wako ktk crisis moja balaa sasa hapo balaa ndipo lilipo.
Tatizo tumekuwa wategemezi hata kwa vitu ambavyo viko ndani ya uwezo wetu kabisa. Wananchi asilimia 60 ya watanzania hawahitaji
1.Pentrol ili kufurahia maisha
2.Hawahitaji Magari ili kufurahia maisha
3.Hawahitaji umeme ili kufurahia maisha
.........
Wanacho hitaji ni mlo tu wa uhakika asubuhi , mchana na usiku. Kinachoshangaza haya mambo ya msingi bado hayawezekani kwa mtanzania japokuwa
1.tuna ardhi ya kutosha
2.Tanzania imezungukwa na maji
Hivi angalia ramani ya tanzania ni lazima kuwepo na mvua?
Maoni
Serikali badala ya kuimba kilimo kwanza, ingetenga hekta kadhaa ambazo ziko karibu na maji serikali yenyewe ikajipa malengo na kuzalisha mazao mahindi, mpunga , maharage nk kwa umwagiliaji na mavuno yatakuwa mara 3-4 kwa mwaka. Serikali kuna haja ya kuwekeza miundo mbinu ya umwagiliaji.
Na tena serikali inaweza tajirika kwa kuuzia chakula nchi zinazokubwa na njaa zilizotuzunguka. Ktk viwanda na utandawazi mwingine ama biashara ya kawaida huko hatuwezi kushindana na badala yake serikali itumie ardhi na maji tuliyonayo na soko lilotuzunguka nchi nying zina njaa.
Kwa kweli siwaelewi hawa jamaa mipango yao, soko la chakula lipo wazi kabisa na uwezo tunao wa kufanya hivyo tena kwa mtaji ambao umo ndani ya uwezo, utashangaa wanakurupuka sijui flyover barabara for what?
Tatizo kubwa ni kuwa Mkulu hajui umasikini wetu unatokana na niniIt all comes down to energy(electricity,oil..),nchi haina umeme na oil bei ni balaa,no production or any servces in our economy kwa sababu umeme hakuna,sasa unategemea hiyo kodi itoke wapi huku hakuna chochote kinachoendelea,JK na serikali yake wanajidanganya tuu maana bila kushughulikia tatizo la umeme nchi imekwisha,kila kitu kiancholipa kodi kuanzia viwanda,mahotel,migodi,usafirishaji,housing etc kinategemea energy(electricity,oil)...solve tatizo la umeme kwanza ili watu waanze uzalishaji na kazi nyingine za kimaendeleo then kusanya kodi yako,bila umeme tumekwisha!
It all comes down to energy(electricity,oil..),nchi haina umeme na oil bei ni balaa,no production or any servces in our economy kwa sababu umeme hakuna,sasa unategemea hiyo kodi itoke wapi huku hakuna chochote kinachoendelea,JK na serikali yake wanajidanganya tuu maana bila kushughulikia tatizo la umeme nchi imekwisha,kila kitu kiancholipa kodi kuanzia viwanda,mahotel,migodi,usafirishaji,housing etc kinategemea energy(electricity,oil)...solve tatizo la umeme kwanza ili watu waanze uzalishaji na kazi nyingine za kimaendeleo then kusanya kodi yako,bila umeme tumekwisha!
To every problem there's a solution. Tanzania's economic crisis is a challenge to all Tanzanians, constructively we can all come up with some proposals to lift up our economy!
hali halisi inaonyesha kwamba uchumi wa tanzania unaangukia mikononi mwa mchumi.
kusoma uchumi siyo kigezo cha kuitwa mchumi.
Mishahara hailipiki,
atalipaje wakati anategemea misaada, na watoa misaada walishatonywa kuwa alichakachua?
kodi inadorora,
mgawo wa umeme kila leo unategemea wenye viwanda watapata wapi bidhaa za kuuza hata waweze kulipa hiyo corporate tax?
waalimu hawana future,
hao wanajitakia wenyewe. acha maisha yawacharaze. ndiyo wanatumika sana kuweka serikali feki madarakani kwa ujira wa 30 000 kipindi cha uchaguzi. tena hao natamani wawe omba-omba tu.
askari rushwa mtindo mmoja
makamanda sina noma nao. kila mtu na ale kwa urefu wa kamba yake. serikali badala ya kupanua barabara kama mandela road yenyewe imejenga bonge la mtaro ambalo ni useless. sasa mtu akatanua hapo kwa nini askari wasimgeuze dili?
TANZANIA TUNAUMIA KWA WOGA WETU.
Hakika kama tusipobadilika tukapunguza uoga,wenye meno wataendelea kuitafuna Tanzania na familia zao kunehemeka.kilichopo walioko madarakan wanawatumia watoto zao kujilimbikizia mali, baba ridh watanzania siku wakipunguza woga kwa asilimia moja wengi mtaishi uhamishoni.
""" HAKUNA MAENDELEO BILA KUJITOA MHANGA""