Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

Zitto bora ungewataja tu ya nini ku beep beep? CCM wameishiwa salio hawawezi kupiga.
 
Scarface anakwambia if you wanna shoot, shoot, don't talk.

Huyu wild west anauawa kirahisi, sehemu ya ku shoot anaanza longolongo nyiingi.

Mwishowe hata kama anasema kweli anaonekana mzushi tu.

Mtu umepewa kinga za kibunge unasuasua, unataka nini tena?
 
Zitto bora ungewataja tu ya nini ku beep beep? CCM wameishiwa salio hawawezi kupiga.
Kambi ya upinzani imesema ni kiongozi wa juu wa serikali, sasa swali,
kiongozi wa juu wa serikali ni nani? kwa vile mitihani yote nchi hii ni ya kuchagua basi chagua jibu sahihi kati ya haya (a) waziri wa mali asili na utalii (b) waziri mkuu (c) IGP (d)AG (e) Rais.
 
Fugees wanakwambia when you come, come correct, or don't come at all.
 
Serikali ndio inayotakiwa kujua (tunategemea inamjua tayari) ni nani na kumtaja. Wao ndio wachague jibu sahihi na kutaja.
 
Fugees wanakwambia when you come, come correct, or don't come at all.
Opposition wame-come correct, mbona huelewi nini wanaposema kiogozi wa juu wa serikali jiulize juu ziko ngapi? uzuri hawakuwasema kiongozi mwandamizi wa serikali hii legelege bali wamesema moja kwa moja bila kutafuna maneno kuwa ni KIONGOZI WA JUU WA SERIKALI full stop, wameshatafuna sasa unashindwa kumeza, sisi tumeze tu kwa huyo kiongozi wa juu wa serikali na wapambe wake najua ni chungu sana ila watajiju, wanakaribia kunyea ndoo
 
Serikali ndio inayotakiwa kujua (tunategemea inamjua tayari) ni nani na kumtaja. Wao ndio wachague jibu sahihi na kutaja.
Serikali! Tusubiri labda atajwe halafu Salva, yule mkurugenzi wa habari ikulu atakuja kutoa majibu kama yale ya mkulu wetu kununuliwa suti london.
 
Hili linchi ni la kuzikwa tu! i am afraid hata kama wakitajwa hakuna hatua yoyote itakayochukiliwa against them, we all know this! na itakuwa ni history!!
 
Me nashangaa sana,wachagga wametapakaa TZ yote,watumishi wa serekali na wafanyabiashara,lkn mazungumzo yao ya uchademachadema hata hao watumishi,ajabu kilimanjaro wabunge wengi ni ccm,ni kwanini!
this is called logical fallacy.
 
Akiwasilisha kambi ya upinzani katika bajeti ya wizara ya fedha Zito Zuberi Kabwe amesema, katika taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kuna kiongozi wa juu wa serikali iliyopita akishirikiana na baadhi ya watendaji wa serikali walihongwa. Inasemekana waliohongwa na baadhi ya makampuni ya uchimbaji wa mafuta na kwenda kuzificha fedha hizo Uswiss.

Hivyo kambi ya upinzani inaitaka serikali iwataje viongozi hao kabla CHADEMA haijawataja hadharani.

Sendeka anaomba mwongozo wa kimbuzi kamanda lissu anamwaga live poor u sendeka
 
Opposition wame-come correct, mbona huelewi nini wanaposema kiogozi wa juu wa serikali jiulize juu ziko ngapi? uzuri hawakuwasema kiongozi mwandamizi wa serikali hii legelege bali wamesema moja kwa moja bila kutafuna maneno kuwa ni KIONGOZI WA JUU WA SERIKALI full stop, wameshatafuna sasa unashindwa kumeza, sisi tumeze tu kwa huyo kiongozi wa juu wa serikali na wapambe wake najua ni chungu sana ila watajiju, wanakaribia kunyea ndoo

Mwananchi anatakiwa kupewa kitu clear.

Sio mashairi yatakayoanza kumpa maswali ya ki-Ptolemy ya "juu ziko ngapi"?

Kama kiongozi wa juu wa serikali wanamjua, kwa nini hawamtaji?

Woga? Hatutaki opposition iliyojaa woga.

Machiavellian chess? Hatutaki opposition iliyojaa Machiavellian chess panapotaka bold advocacy for national interests.

Kutojiamini na kubeep beep? Hatutaki opposition iliyojaa kutojiamini na kubeep beep. Ile "parliamentary immunity" haijatolewa bure, imewekwa kwa sababu.Itumiwe.

Kutokuwa na uhakika? Hatutaki opposition isiyo na uhakika kama tabloid inayotaka kuwahi weekend edition bila verification.

Kama una integrity, una ukweli, una busara, una habari:-

Ama unakuwa na uhakika na kuitoa habari kiukamilifu bila ya mafumbo ya "Kiongozi wa juu wa serikali" (wengine watasema viongozi wote, by virtue of being viongozi, ni wa juu kwa aliye chini, juu is relative, especially kwa asiye na elimu kama wengi wetu makabwela).

Ama unaona si busara kuisema habari hii kwa sababu haijahakikishwa, siwezi kuhimili mikiki yake, itazua maswali mengi kuliko majibu au haijafika muda wake. Unauchuna.

Sasa hivi Zitto anaweza kusemwa kwamba ana wa blackmail hao mafisadi wampe 10% ili asiwataje.

Na hawezi kubisha.

My people are in peril for want of wisdom!

Hata hao vinara wa upinzani ni watupu kama watoto wa shule washika mkia.
 
Hainiingii akilini kwani naanini ushahidi UPo na yeye zitto ndio anaowajua sasa anaposema serikali iwataje je Kama msemaji wa sirikali naye yumo kuna kutaja APo kweli? Bora ata angetoa notice kwamba btn muda huu a day, week, month or year serikali iwataje ningemuelewa aya serikali nayo itasema ni upepo tuu utapita alafu itakuwa kimya.....mbona wewe kamati yako zito ilitajwa right on the sport? Ushahidi UPo najua ushahidi upo weka mambo hadharani bunge ndio linaisha au mpaka mwembe yanga?
 
Serikali ndio inayotakiwa kujua (tunategemea inamjua tayari) ni nani na kumtaja. Wao ndio wachague jibu sahihi na kutaja.

Serikali ndiyo iliyokuwa accused hapa.

Watu tunaotumia logic hatutegemei aliyekuwa accused ndiye awe mtu wa kutaja, kwa sababu accusation hata hazijawa clear bado.

Aliyefanya accusations amtaje mtu kwa jina, atoe ushahidi wake umetokea wapi.

Halafu tutaangalia ushahidi wake, tutataka huyo aliyekuwa accused aupinge kwa kadiri yake.

Kama aliyetoa accusations hawezi kutoa ushahidi wake atabaki kuwa mtu wa majungu yasiyo msingi na kuendelea kupoteza credibility yake.

Kilaza yeyote anaweza kusema kijumlajumla kwamba kiongozi yeyote kafanya ushenzi wowote.

Kutoa ushahidi publicly ni suala tofauti linalotenganisha mchele na chuya.
 
Back
Top Bottom