Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Aug 15, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Akiwasilisha kambi ya upinzani katika bajeti ya wizara ya fedha Zito Zuberi Kabwe amesema, katika taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kuna kiongozi wa juu wa serikali iliyopita akishirikiana na baadhi ya watendaji wa serikali walihongwa. Inasemekana waliohongwa na baadhi ya makampuni ya uchimbaji wa mafuta na kwenda kuzificha fedha hizo Uswiss.

  Hivyo kambi ya upinzani inaitaka serikali iwataje viongozi hao kabla CHADEMA haijawataja hadharani.

  ===========
  UPDATES:

   
 2. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Waaaaaaaaaaaambiee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  kazi imeanza
   
 4. t

  twijuke JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmhh ngoja tuone! kwani wakati unakula wakati.
   
 5. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hapa ndiyo huwa nawapenda CDM, hakuna longolongo kama CCM! Go go gooo Zitto.

  Ngoja ni refresh my memory, hivi waziri wa nishati na madini wa serikali iliyopita alikuwa nani vile?

  Jamani ninaomba mnikumbushe huyu anaweza akawa suspect No. 1.
   
 6. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Mliopo ubalozi wa India mtujuze vigogo wangapi wamekuja kuombewa VISA za kwenda Apollo jion au usiku wa leo kucheck afya baada ya Maneno haya ya Zitto, naamini wapo ambao pressure imepanda na huwa hawana imani na tiba ya humu ndani na historia inaonyesha Zito hanaga ahadi feki.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Daniel YONAH
   
 8. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  awataje tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  James Mbatia anaFloor kwakusema kua majengo yooote makubwa yalioko jijini Dar es salaam hayalipi kodi na anauhakika na kama serikali inataka msaada wakujua ni jengo lipi yuko tayari kuisaidia!
   
 10. D

  Dislike Senior Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Serikali Udhaifu.
   
 11. j

  jimenywa New Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu ni lazima tumjue mkweli nani? Cdm au ccm?
   
 12. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Zitto the professional beeper!
   
 13. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kambi ya wachaga ndio CHADEMA? Akili yako imeoza
   
 14. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh. Zitto wataje tuwafahamu.
   
 15. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nadhani mheshimiwa Sule Kove anatamani hii issue ifike mahakamani ili lisiendelee kuongelewa lakini tatizo yanafanyikia Dodoma ambapo ni nje ya 'kingdom' yake.
   
 16. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Angeweka na time frame....sio kutuambia atawataja alafu akaja kuwataja 2020......aeleze ikifikia lini Chai Chapati na Maharage awajawataja....then wao wanataja....huo ndo uwajibikaji
   
 17. g

  giiti junior Senior Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hayo ndiyo mambo tunayotarajia,maana hatutegemei kama serikali inaweza kuwataja!
   
 18. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Naam.Hii ndo ile juice ya lunch nliyokuwa naisubiria.

  CCM ndani ya mashine ya oksijeni.
   
 19. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Yaani tukishawajua tu na kuwaona mtaani ni kuwarushia mawe kwenda mbele. Hawawezi kuangalia familia zao tu na huku robo tatu ya watanzania wanateseka kwa umasikini wakutupwa.
   
 20. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,177
  Likes Received: 1,259
  Trophy Points: 280
  Kweli tuna kazi MABWEPANDE panadai chano!!
   
Loading...