Zitto:Serekali inakusanya hela kwa kutumia tumbo

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Zitto ameyasema hayo mbungeni dodoma,amesema serekali inakusanya hela kwa ajili ya matumizi na sio kwa maendeleo.

Ametolea mfano mpaka sasa maendeleo pekee ni bombadia na reli tu.

Zitto aliulizwa na mwandishi wa ITV tathimini yake juu ya bajeti inayomalizika ya 2016/2017

Zitto bana,Eti wanakusanyia tumbo badala ya maendeleo ya watu du!
 
Na Kikwete alikusanya za nini miaka yote kumi!
 
Sasa tumbua tumbua na fukuza fukuza zote zile si pesa za bajeti zitaishia kulipa fidia anuwai..??
 
Zitto ameyasema hayo mbungeni dodoma,amesema serekali inakusanya hela kwa ajili ya matumizi na sio kwa maendeleo.

Ametolea mfano mpaka sasa maendeleo pekee ni bombadia na reli tu.

Zitto aliulizwa na mwandishi wa ITV tathimini yake juu ya bajeti inayomalizika ya 2016/2017

Zitto bana,Eti wanakusanyia tumbo badala ya maendeleo ya watu du!

ITV bad wanapenda kutoa airtime kwa habari za kichochezi chochezi tu shauri Yao Rais alishawaonya!
 
Tumbo ni pamoja na yeye kulipwa posho na mshahara aache unafiki...
mkuu, posho na mshahara wake ni sehemu ya bajeti. hizo zimekusanywa na Zitto hajasema kuna tatizo kwenye hilo. tatizo ni hela ya maendeleo ambayo ndiyo muhimu zaidi. ni kitu gani kigumu alichokisema Zitto ambacho hujakielewa mkuu?
 
Rais Kama alikataa Habari za Migogoro ya Wakulima Mvomero atakubali za Mgogoro kwny soko la Hisa Dsm?
Amekataa yeye kama nani?? Na kwanini unasema za kichochezi kwani wahariri hawapo au na yeye ni mhariri???

BTW nenda kasikilize wimbo wa nay wa mitego wa WAPO ambao rais ameuruhusu ili akili yako ikae sawa!
 
Punguza Jazba basiii, ndo ionekane Mzalendo sana !
Hapo nilikuwa na joke Maneno ya JPM umekuja wangu wangu !
 
Kwenye kukusanya mapato serkali imejitahidi, ila kuna dosari maana imekomaa kwenye kuongeza kodi kwenye bidhaa/ biashara zilizopo badala ya kuvutia uwekezaji mpya ili kupata vyanzo vipya vya kodi.
 
Back
Top Bottom