Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
duuu !Kwani rais katoa agizo au kashauri tu kuwa wamwachie?
Manake mimi nimemsikia Mwakyembe akisema wazi kabisa kuwa yeye hawezi kutoa amri ya huyo Neema kuachiliwa kwa sababu mamlaka inayomshikiria inayo mamlaka ya kufanya hivyo.
kwahyo mahakama ikukuta una hatia na kesi ya wizi serikali inaweza "ikaomba" mahakama ikuachie???Rais hakutoa order...ndo maana Mwakyembe amewaomba BASATA...it wasnt an order....huu upinzani tiamaji tiamaji unasikitisha sana
Yaani hii serikali ya awamu ya 5 ina sera hao kuu ambayo inaitwa kukurupuka.........
Zitto is right, Mkulu hana mamlaka ya kuruhusu au kupiga marufuku mwimbo Fulani wa msanii, hilo ni jukumu la Basata.
Lakini as usual kwenye awamu hii ya 5 watendaji wengi wa serikali 'wanasikilizia' maagizo/maelekezo toka Magogoni.
Kwann unamfuatilia sanabosi wa basata kashikwa hasira katoka ofisini saa saba simu kazima sijui kaenda wapi
Ayuko rightZitto upo right
Sijaelewa, andika kama msomi basi mkuu.Ayuko right