Zitto ondoka tulishakupa talaka

Zitto ondoka tulishakupa talaka

Status
Not open for further replies.
Vp maandamano mmeshindwaaaaa??

Tumewatanguliza polisi kwenye maandamano,wakichoka kuzurula mitaani na mibomu mchana kutwa ndiyo tutakapowaandalia sunami ya maandamano ya usiku tuuu .
 
Chadema ni Mbowe na Slaa, bila wao chama kitakufa, wamekitoa mbali na wamekijenga mpaka kufikia hapo kilipo. kamanda husikilizi hata hoja za viongozi wako, uchaguzi wote wa chadema umejengwa na hoja kuwa mbowe kajenga chama anastahili kuendelea ili akijenge zaidi, makamanda tukamkubali. sasa hapo chadema si mbowe, bila mbowe hakuna wa kuendeleza chama, tunamuombea maisha marefu, mabomu ya police wa ccm yampitie mbali chadema yetu isije ikafa.

Na huyu naye ni kamanda wa jeshi la ukombozi.... Sasa kama fikra zenyewe ndio kama hizi sijui nani anahitaji ukombozi. Nadhani kwanza angeanza kujikomboa yeye kifikra halafu ndio aweze kuwapigania wengine. Ukombozi unaohubiriwa na fikra dumavu kama hizi ukombozi wa maharamia pekee.
 
You idiot you can't even understand simple minds, did you really read and understand what I wrote or just because you have internet access and you know to type then you type some? read, take time to digest and then contribute. I feel sorry for the forum not you, if people like you are also called great thinkers!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom