ericmarimbo
Member
- Sep 30, 2011
- 91
- 37
Hivi huyu mjomba mbona hataki kuondoka? Uchaguzi ndani ya chama umeisha na hajapata nafasi yoyote lakini hataki kuondoka anang'ang'ania kama kupe. Tulishakufukuza ondoka ukajenge ACT yako pamoja na CCM. Kama ni pesa za kinywa mgongo siatapewa na bwana zake wapya wa CCM?
Wasaliti wote wameondoka kabaki Zitto na Shibuda tu.
Wasaliti wote wameondoka kabaki Zitto na Shibuda tu.