Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

Nasupport zitto kurudi chadema na kureconcile 100%. ila sidhani kma ataweza kutetea jimbo lake ,coz nilikuwepo jimboni kwake na maeneo ya kalinzi,vijiji karibu na nyarubanda, kote huko vijana kwa wazee wameapa kutokumpa kura uchaguzi ujao, so kwa uchaguzi ujao inahitaji atafute alternative place and maybe kigoma mjini ndio itamfanikisha kurudi bungeni.
 
Chadema ndio wanapaswa kumuomba msamaha Zitto maana wame mkosea sana! Hasa Slaa,Lissu,Lema na Mbowe ndio wanatakiwa kumuomba msamaha Zitto.

Ni ukweli ulio wazi Chadema hawana mbunge makini na mweledi kama Zitto Zuberi kabwe!
Ha ha ha hadithi za alinacha zinazidi kuendelea mbunge wa mahakama huyo kama ulikuwa umesahau tunakukumbusha tu na chadema bado ipo ACT is there for him
 
Chadema ndio wanapaswa kumuomba msamaha Zitto maana wame mkosea sana! Hasa Slaa,Lissu,Lema na Mbowe ndio wanatakiwa kumuomba msamaha Zitto.

Ni ukweli ulio wazi Chadema hawana mbunge makini na mweledi kama Zitto Zuberi kabwe!

Name calling why they don't bab you?

Swissme.
 
Chadema ndio wanapaswa kumuomba msamaha Zitto maana wame mkosea sana! Hasa Slaa,Lissu,Lema na Mbowe ndio wanatakiwa kumuomba msamaha Zitto.

Ni ukweli ulio wazi Chadema hawana mbunge makini na mweledi kama Zitto Zuberi kabwe!

weredi wake ni upi?
 
Nasupport zitto kurudi chadema na kureconcile 100%. ila sidhani kma ataweza kutetea jimbo lake ,coz nilikuwepo jimboni kwake na maeneo ya kalinzi,vijiji karibu na nyarubanda, kote huko vijana kwa wazee wameapa kutokumpa kura uchaguzi ujao, so kwa uchaguzi ujao inahitaji atafute alternative place and maybe kigoma mjini ndio itamfanikisha kurudi bungeni.

Mkuu, jr.. waache hao waendelee kumvibishwa kichwa... jua linazama hivo!!
 
ZITTO alishahamia ACT, wao bado wanamhesabia kwa Wakaanga Sumu, labda kama B.S awe amehama CHADEMA.

Yaani nikiwaona huku mpaka nasikia hata kucheka, mmekimbia movie la ughaidi Tanga mmehamia huku kwa mauderground. Wazee wenu wamecheza movie la kizamani eti gaidi kavaa yeboyebo, wamesahau magaidi wa sasa hawana muda wa kulala kwenye mapango bali wanalala kwenye hotel za kitalii nk. Magaidi wa kizazi kipya wanatumia ipad, laptop nk, mavazi yao ni suti na pamba za uhakika wanauwezo wa kuendesha mpaka ndege. Hivi nyie vijana mnakaririshwa mistari ya movie za kijinga hata hamhoji jamani, ujue saa nyingine nyie ndio tutawalaumu, hata kama ni kutafuta lakini saa nyingine na nyinyi wabadilikieni hao wazee muwaambie watu wameshtuka. Saa kijana unaambiwa Nyerere alisoma na Obama na wewe unakuja hapa unashabikia hata huhoji tofauti ya umri, kisa unalipwa!!?
 
Nasupport zitto kurudi chadema na kureconcile 100%. ila sidhani kma ataweza kutetea jimbo lake ,coz nilikuwepo jimboni kwake na maeneo ya kalinzi,vijiji karibu na nyarubanda, kote huko vijana kwa wazee wameapa kutokumpa kura uchaguzi ujao, so kwa uchaguzi ujao inahitaji atafute alternative place and maybe kigoma mjini ndio itamfanikisha kurudi bungeni.

Kuna kila dalili kuwa Zitto atagombea Jimbo la Kigoma Mjini na Peter Serukamba atagombea Kigoma Kaskazini.

Zitto bila shaka atashinda Kigoma Mjini, ila Serukamba ana kazi ngumu sana Kigoma Kaskazini.

Vv
 
Mh. Zitto Zuberi Kabwe malizana nachama chako haraka

Mhe. ZZK ufanye suruhu na chama chako haraka ili ukatetee jimbo lako ninakutabilia mambo mazuri, nina imani mkizungumza vizuri mtayamaliza. UKAWA inajipanga kuwa na wabunge wengi kwani kuwa na wabunge wengi ndiyo serikali yenyewe, akiwa rais huyo Pinda mtambuluza mnavyotaka atabaki analia tu. Chonde chonde ZZK fanya kweli, watakuona mjinga lakini kumbe wajinga wao.
Ninakuaminia.

Mbona unambembeleza mpaka unalia machozi,kwani umetumwa na Mbowe au nini?
 
Yaani nikiwaona huku mpaka nasikia hata kucheka, mmekimbia movie la ughaidi Tanga mmehamia huku kwa mauderground. Wazee wenu wamecheza movie la kizamani eti gaidi kavaa yeboyebo, wamesahau magaidi wa sasa hawana muda wa kulala kwenye mapango bali wanalala kwenye hotel za kitalii nk. Magaidi wa kizazi kipya wanatumia ipad, laptop nk, mavazi yao ni suti na pamba za uhakika wanauwezo wa kuendesha mpaka ndege. Hivi nyie vijana mnakaririshwa mistari ya movie za kijinga hata hamhoji jamani, ujue saa nyingine nyie ndio tutawalaumu, hata kama ni kutafuta lakini saa nyingine na nyinyi wabadilikieni hao wazee muwaambie watu wameshtuka. Saa kijana unaambiwa Nyerere alisoma na Obama na wewe unakuja hapa unashabikia hata huhoji tofauti ya umri, kisa unalipwa!!?

mkuu tatizo la hyo movie ni director changonja ndo kaharibu, bora wangekodi hata bongo muvi wawaandikie skripti!
 
tatizo la zitto siyo mwanasiasa anayeaminika hata kidogo anapenda sana rushwa halafu mzee mkono kamweka mfukoni anamtumia atakavyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom