Kama utakuwa uko huru kifikra wala sio ushabiki utaona mheshimiwa ZITO ni kiongozi makini, kwann nasema ivyo? Yeye ndo chachu ya ukombozi, tazama aliingia bungeni akiwa kijana mdogo lakin mzee wa mvi kwa hoja, tazama michango yake bungeni, tazam hoja binafsi anazopeleka bungeni bila shaka kuna watu hawana shukrani.
Mimi ZITO hanijui wala simjui zaidi ya hoja zake msimamo kijiamini.Watu wanaweza kumsema vibaya kwa kuwa hawapendi ukweli wanafata majina makubwa ya chama ambapo wasingependa uhoji hoja zao.
You have to accept anything they say and don challenge. Wapo watu hawaangallii historia ZITO ndio amewa-inspire vijana wengi kupenda siasa.
Ningependa Zitto awe rais wangu wa 5 kwasababu ana uwezo,anajiamini na ana rekodi nzuri.Hakubali kuburuzwa pale haki inapopindishwa.
Ila najua vikwazoni vingi nawaona madikteta wa hoja,mashabiki wa watu badala ya sera ha hoja za mtu.
Namuombea kwa Mungu amlinde na kila mwenye nia mbaya na mkombozi huyu wa Taifa la Tanzania.
MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRIKA