Zitto ni kijana lakini ana Busara na Hekima zaidi kuliko Dr. Slaa

Mau Mau

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
673
478
Ikumbukwe ZITTO KABWE alipoenguliwa CHADEMA kwa tuhuma za usaliti pamoja na fitina alizokuwa akifanya lakina alikuwa ni mwenye hekima ktk mambo mbalimbali.

ZZK hakufanya kampeni kwenye media kuchafua viongozi wake,alitulia na mara chache alionekana FACEBOOK na TWITTER, lakini dr. Slaa ambae ni mkubwa karibu mara 2 ya umri wa Zitti tena akijiita padre mstaafu anahangahika huku na huku kuvuruga upinzani kuiondoa CCM madarakini.

Jana star tv alikiri ana kinyongo na EL kupeperusha bendera ya UKAWA na kwamba hata yeye ana moyo wa nyama, kaamua kuweka kando heshma yake na mafundisho ya kiroho na kuamua kulipiza KISASI kwa CHADEMA ili wakose wote.

Nani asiyejua STAR TV imekuwa chombo knachotumika kumpigia kampeni Magufuli? Sote tumeona DIRECTIVE QUESTION ktk kpindi cha jana usiku ili kumsafisha Slaa na kuikandamiza UKAWA!

Wengi huamini uzee ni dawa lakini kwa Dr. Slaa ni tofauti.

WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA.
 
Uchaguzi huu umeleta maajabu ya kila aina
1.lowasa mgombea wa UKAWA
2.Dr Slaa kuiponda CHADEMA
3.Zitto kukumbukwa na kusifiwa na TeamMbowe
4.Kafulila kupishana na Zitto..

Na mengine yatakuja naona
 
Dr.slaa namfananisha na mtoto asiyejua atendalo wala asemalo..anahangaishwa tu na uroho wa madaraka na ubinafsi uliomjaa kifuani mwake.
 
Tumechoka na habari za Slaa humu ndani, hamna jipya, tushaongea tushamaliza tunaendelea na kampeni, anzisheni mada zingine, huyo mzee tunamshukuru kwa kujenga chama, tushasikia porojo zake, mwacheni apumzike,
 
Uchaguzi huu umeleta maajabu ya kila aina
1.lowasa mgombea wa UKAWA
2.Dr Slaa kuiponda CHADEMA
3.Zitto kukumbukwa na kusifiwa na TeamMbowe
4.Kafulila kupishana na Zitto..

Na mengine yatakuja naona

Leo nimekubaliana na wewe.Teh teh duh...Na Chadema na Rostam Aziz wanalonga lugha moja.Midahalo na Ufisadi ni marufuku kutajwa na wanachadema...
 
Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?Super sub.Super suuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuubbb?Lowassaaaaaaaaaaa.
 
Uchaguzi huu umeleta maajabu ya kila aina
1.lowasa mgombea wa UKAWA
2.Dr Slaa kuiponda CHADEMA
3.Zitto kukumbukwa na kusifiwa na TeamMbowe
4.Kafulila kupishana na Zitto..

Na mengine yatakuja naona

Hahaaaa...ama kweli, 'Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni'
 
Back
Top Bottom