simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,785
- 9,719
Hivi yule kiongozi wa Korea Kaskazini ana umri gani vile...??
Hivi yule kiongozi wa Korea Kaskazini ana umri gani vile...??
Hivi yule kiongozi wa Korea Kaskazini ana umri gani vile...??
Kwanza ni zamu ya Wakristo. So long as Zitto ni mjahidina asubiri mpaka 2025
Hivi yule kiongozi wa Korea Kaskazini ana umri gani vile...??
Unataka tule Madesa kwa Korea kumpata Rais wetu? Mvivu wa kufikiri huyu! Huyo dogo msimpe kiburi bado hajakomaa bwana! Urais ni taasisi inayohitaji mtu aliyetulia Zitto kwa sasa bado Jepesi!
Waberoya unakumbuka umewahi kuandika nini kuhusu Zitto humu JF?Even dream makes you mad!!! what a man!
Ndio umeandika nini sasa? Hujielewi!mwandishi analaumu kutawaliwa na kenya.anasema kenya wametuzuia kujenga barabara serengeti hapohapo anahoji wazalendo wako wapi.anasahau kuwa zitto ni miongoni mwa wa zalendo anaohoji wako wapi.
Wakristo tupo wengi pia,nadhani sasa ni wakati wa wapentekoste/sabato/lutheri/Anglikana maana wakatoliki mwalimu nyerere na Mkapa wanawatosha au unasemaje Nelsweeter?(Hili alikwisha lionya mwalimu kuwa dhambi ya ubaguzi haiishii kwa uislamu na ukristo tu bali itaendelea mpaka mtaanza kubaguana kwa vimo vyenu!!Sijui kwanini watanzania tuna mawazo mgando namna hii Aaaaghh!!)Kwanza ni zamu ya Wakristo. So long as Zitto ni mjahidina asubiri mpaka 2025
Hizi sifa ulizozitaja zote rais wako wa sasa hivi anazo...?Urais unahitaji hekima, Zitto hana kwa sasa, Urais unahitaji busara, Zitto hana kwa sasa, Urais ujasiri wa kweli Zitto hana kwa sasa,Urais unahitaji mtu wa kutafakuri, Zitto hana kwa sasa, Urais hauhitaji mtu mnafiki, Zitto kwa sasa ni mnafiki, Kwa ujumla Urais unahitaji mtu aliyepevuka, na Zitto bado hajapevuka.
Mwandishi na mleta mada inaonekana mna kinyongo na zitto!
Hizi sifa ulizozitaja zote rais wako wa sasa hivi anazo...?
Soma mada uielewe usikurupuke tu na kuandika. Sasa hapo mtoa mada anakinyongo gani na zitto penye ukweli unakubali. Kweli zitto hajaiva na bado ni muoga tumeona mengi akiwa ndani ya chama chake, akitofautiana na wenzake si mbaya kutofautiana lakini kuna mengine ambayo alikuwa anatofautiana na wenzake wakiwa tayari wameshakubaliana. Kuna mengi mazito ambayo siwezi kuyasema yote, ni kweli kabisa zitto bado hajawa tayari kutuongoza, Ni muoga, ajiamini, ni kigeugeu. Zitto hawezi kutoa maamuzi mwenyewe, zitto akiwa rais tutakuwa na kikwete part 2 au zaidi. Anatakiwa ajianda kwanza muda wake bado ache tamaa.
Hivi yule kiongozi wa Korea Kaskazini ana umri gani vile...??
Unajaza server tu, sasa hiki ndo kitu gani?mwandishi analaumu kutawaliwa na kenya.anasema kenya wametuzuia kujenga barabara serengeti hapohapo anahoji wazalendo wako wapi.anasahau kuwa zitto ni miongoni mwa wa zalendo anaohoji wako wapi.
mwandishi analaumu kutawaliwa na kenya.anasema kenya wametuzuia kujenga barabara serengeti hapohapo anahoji wazalendo wako wapi.anasahau kuwa zitto ni miongoni mwa wa zalendo anaohoji wako wapi.
Alafu anakuja mtu kutwambia tu concentrate na ya Arumeru kwanza alafu yeye huyo huyo anakuja na statement za ajabu kipindi hiki kigumu kinachohitaji umoja! Kuna hekima hapo? Eti Mnyika hakuipenda CDM! Why now?