Zitto ndani ya Mwanza

Zitto ndani ya Mwanza

Idimulwa

Platinum Member
Joined
May 27, 2011
Posts
5,102
Reaction score
2,682
Wakuu heshima mbele,

Nipo hapa uwanja wa ndege,yaani watu ni wengi kupita maelezo wala si ushabiki.Nitatupia picha soon.
 
Tupia picha haraka Mkuu tuna hamu ya kumwona kamanda akipokewa kishujaa.
 
Ile methali ya kiswahili isemayo "wingi si hoja" siku hizi imepitwa na wakati? Maana watu naona wako bize sana kuelezea jinsi watu "walivyojaa" bila ya kueleza hoja ya watu hao kujaa ni ipi. Zama za utawala wa Warumi watu walikuwa wanajaa uwanjani kuangalia binadamu (wafungwa) wenzao wakipambana na simba. Uwanja mzima ulikuwa ukizizima kwa mayowe!!
 
Mwanza ni home of revolution kama zilivyo Arusha,Mbeya...
 
mbona hawa kijani kibichi mnawatesa hivi jamani!
 
zitto anatisha sana na anakubalika, wana cdm lini tutampokea slaa, jana mboye alisema yuko vatican kikazi.
 
Ile methali ya kiswahili isemayo "wingi si hoja" siku hizi imepitwa na wakati? Maana watu naona wako bize sana kuelezea jinsi watu "walivyojaa" bila ya kueleza hoja ya watu hao kujaa ni ipi. Zama za utawala wa Warumi watu walikuwa wanajaa uwanjani kuangalia binadamu (wafungwa) wenzao wakipambana na simba. Uwanja mzima ulikuwa ukizizima kwa mayowe!!

Mbona mikutano ya magamba wenzako huropoki hivi?
 
Ni nomaaaa...jiji la mwanza limetikisika loteeeeeeeeee.Picha cmu inazingua ila najitahidi niwa wekee.Tupo Pasiasi Kamanda anatema cheche...Haki ya Mungu ni zaidi ya Arumeru...Star TV wapo chekini saa 2 usiku.
 
barabara ya kutokea mwanza airport eneo la pasiasi na nyamanoro kuna foleni.mi nimetokea mjini nimemuona zitto kabwe ndani ya moja ya magari.nahis wanacdm wametoka kumpokea kamanda wao.
 
Weka Picha tafadhali, alikua ana lilia raha au?sijamuona huyu bwana akilia mie.....
 
Back
Top Bottom