Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

Huyu mleta mada bila shaka atakuwa ndio mwenyekiti mwenyewe, na hapo tunapata picha ya uwezo wake wa kufikiri ulivyo.
Kwenye heading anamwambia zitto ndani ya wiki moja tu awe ametoka chadema, halafu kwenye maelezo yake anasema ni mbunge wa mahakama! sasa kama zitto ni mbunge wa mahakama ina maana tayari ameshatoka chadema, sasa inaposemwa ndani ya wiki moja awe ametoka chadema mnataka aende wapi?
Wewe mleta mada bila shaka ni mmojawapo wa vilaza wa pale ufipa.
 
Msalit zzk ni mshenzi tuu
tumpuze,
tuangalie changamoto kubwa zimazolikabili Taifa,tunapoenda kushika dola 2015.
Misukule ya lumumba ajiandae kutangulia The hague
 
We Mkandara nadhani ubongo wako una mkanda wa jeshi. Hivi Zitto aondolewe mara ngapi Chadema. Jina limeshafutwa kwenye orodha ya wanachama wa Chadema, ila kupitia mahakama. Nikukumbushe, Zitto ni mwanachama wa chadema kwa amri ya mahakama. Yeye ndiyo anaye ng'ang'ania kubaki chadema. Mkandara anza kula mbegu kabla mambo kuwa mabaya.
 
Last edited by a moderator:


Mbona unasemea mafichoni? unatumia jina bandia km siyo mnafiki weka verified user lkn hii ya kusemea matakoni ni uoga na uzandiki, shujaa husema wazi bila woga. kelele tu ukiwa uvunguni.
 
tumxameh zitto arudi kwani atakuw rayar amexhajirekebisha,nashauri iundwe kamati ya wazee ndani ya chama wasuluhishe huu mgogoro samehe saba mara sabini...............
 
Mkuu Mkandara,

Kisiasa huwezi kumlinganisha Dr. Slaa na Zitto, Zitto siyo mwanasiasa wa kutegemea kama wengi wanavyodhani, Zitto ni mwanaharakati kama walivyokuwa Mtikila na Lwamwai wa NCCR ya zamani.

Zitto anaweza kuwa na nguvu kama akijiunga na vyama vya kutetea haki za binadamu kama (HLRC) cha akina Kijo Bisimba, Ananilea Nkya au Jukwaa la Katiba la Kibamba au TLS-Tanganyika Law Society vyama ambavyo lengo lake si kushika dola.

Zitto anapata wakati mgumu sana kujiondoa Chadema kwa vile anajua nguvu zake (kisiasa) zilikuwa zinatoka wapi.

Zitto alipata nguvu wakati Chadema ingali bado kwenye siasa za harakati, leo chama kinajibadilisha kutoka kwenye uanaharakati kwenda kwenye mfumo wa chama kushika dola, wakati chama kikifanya reform Zitto bado yuko kwenye mfumo ule ule wa uanaharakati, hicho ndicho kinachofanya Zitto kutofautiana na Chadema.
 
OKW BOBAN SUNZU, wewe ndio unampa zitto wiki moja aondoke chamani au chama cha chadema ndio kinampa wiki moja, Hata hivyo nina wasiwasi kama ataondoka kwa hii wiki moja uliyoitoa

 
Last edited by a moderator:
Achomoke tu, msaliti mkubwa huyo. Angalia hata ACT wasikukatae kama chama fulani kilivyomkataa SHIBUDA
 
Kwani hajachukua fomu kugombea uenyekiti wa chadema? Si alikuwa anautaka au?
 

Zito alisema yeye ndiyo atakuwa mtu wa mwisho kuondoka , sasa subirini siku CHADEMA kitakapokata roho ndiyo na yeye ataondoka , tunawaomba mvute subiri atimize ahadi yake.
 

zito ni muuaji. Hana hata chembe ya ubinadamu. Kama unadiriki kumpeleka mwanaume mwenzio gerezani huku akiiacha familia yake huo ubinadam ulio nao uko wapi? Huna tofauti yoyote na shetani
 
Aondoke tu, binafsi simfagilii.....huyu kawepo hapo alipo kwa nguvu za chadema halafu anasahau alikotoka kwa shibe ya siku moja!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…