Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

Naunga mkono hoja 200%.
-ewe zitto ken*¥nge maji mkubwa wee tuachie chadema yetu bwana aaalah!
*wanadodoma tumepima na kuona kuwa kwa usaliti wako unafaa kuny¤*ngwa hadharani.
 
Umejikanyaga wee lakini mwishoe unasema kama ZITTO anataka kuendelea kuwa CDM atoe sababu. Hii tafsiri yake nini? ZITTO hamumuwezi

Yani hawa wote hawana pakushika na wamesahau walisema Zitto hawasumbui tena lakini ushahidi unaonesha anawasumbua.
 

Zitto alishapuuzwa na watu wote wenye akili hana tena mvuto mbele ya Jamii,alidhani yeye ni maarufu kama ile story ya MWANAPUNDA ALIYEMBEBA YESU!
 
Hahahaha....Zitto yupi huyo anayeitesa CDM...?

Au unamuongelea Zitto huyu ambaye hana mvuto hata kwa watoto wadogo....Zitto huyu hata akiongea Bungeni anaonekana takataka mbele za watu...?

Kama hawatesi kinacho wafanya mjisumbue kumjadili ni nini? Si mlisema mlishamfukuza?
 
Zito bado hajitambui, sababu hajui asimame kulia au kushoto
 
Yani hawa wote hawana pakushika na wamesahau walisema Zitto hawasumbui tena lakini ushahidi unaonesha anawasumbua.

Tusichokitaka sisi ni kile kitendo chake cha kujificha cdm huku akifanya kazi ya ccm! Aondoke akaitumikie vizuri ccm kupitia lile genge lake la act!
 
Mzimu wa Zitto bado unaitafuna CHADEMA kwa nguvu zote.
 
Last edited by a moderator:

Akishindwa kufunga virago tutamfungia tumpelekee ACT aka Chama cha wasaliti.
 
Yaani huyu Jamaa ameshafutika kwenye medani za siasa,sielewi ni Kwanini mnampa promo kwa kumwanzishia thread zisizokuwa na kichwa wala miguu.
 
Zito anawatesa sana chadema..ndo tatizo la mwenye akili mmoja anapojichanganya na vilaza wengi..
 
Zitto keshaondoka CHADEMA, hashiriki kazi yoyote ya kujenga CHADEMA, CHADEMA hawako bungeni kwa kundi la UKAWA, na yeye yuko nje ya bunge peke yake maana yeye hayuko UKAWA, Alipoenda Kigoma hakuenda na Bendera ya CHADEMA,
kinachombakiza CHADEMA ni kubomoa tu.
 
Ila alishasema atakuwa wa mwisho kuondoka chadema!
 
aibu yenu, uchadema hatuna sis, ilawew mwandish lazima ni cdm, mboman huyu mnae muita gaid alikuwa mwema!
 
Zitto hayuko CHADEMA yuko mahakamani kusubiria kiinua mgongo cha ubunge.
 
Nyie wote mnaotokwa na povu wakati Zitto anajiunga chadema nyie mlikuwa bado wadogo.
Na wakati anaingia hakuna hata mmoja wenu nyie wahafidhina aliyemshawishi sasa ni ajabu kwako kupoteza muda eti unampa muda. Muulize lisu alivyogalagazwa mahakamani mpaka leo hana hamu
 
naunga mkono hoja mkuu!

ingekuwa ni chama kingine, kingemtegeshea silaha na risasi nyingi sana, halafu kingetuma vyombo vya ulinzi kumkamata na kumpeleka mahakamani!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…