Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,954
Reaction score
134,028
Zitto Zuberi Kabwe aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini CHADEMA(sasa Mbunge wa Mahakama) nampa '‘grace period'' ya wiki moja ya kufungaisha chochote alichobakisha katika ofisi yeyote ya CHADEMA(sijui kama vipo) na kuondoka. Upo CHADEMA ili iweje,hatukutaki!
Ulivyovimba kichwa ulidhani bila CHADEMA ungekuwa mwenyekiti wa PAC, ungekuwa mbunge wa Bunge la Katiba, ungejulikana kimataifa.
Tunazo sababu za kukulazimisha kuondoka CHADEMA kinguvu. Mbali na mikakati unayoifanya vichakani, lakini yapo haya ya wazi:-

1.Umehusishwa na njama za kutungua helkopta iliyotumiwa na katibu kipenzi chetu Dr.Slaa. Madiwani wa Shinyanga wamekuumbua. Hujakanusha '‘Silence means YES''

2.Umehusishwa na mipango ya kubambikiza wanachama ugaidi. Kwa macho na masikio yangu nimekushuhudia Star TV ukiwa na Mwigulu Nchemba mkitangaza kuwa mna mkanda wa video ukionyesha vigogo wa CHADEMA wakipanga ugaidi. Nasema mkitangaza kwa kuwa yalipotamkwa haya na Mwigulu wewe ulikuwa pembeni yake, ukiwa kama Naibu Katibu Mkuu hukukanusha wala kuonyesha kukerwa na propaganda hizo zilizovuka mipaka. '‘Silence means YES''

3.Katika mwendelezo wa kubambikiza kesi za Ugaidi ukaendeleza unafiki wako wakati Kamanda Lwakatare '‘Lwax'' akiwa sero wewe ulikiandikia barua chama kwamba kijiweke mbali na kesi ya Lwakatare, bishaaa. Nikuulize wewe Msaliti Mkuu yupo wapi Lwakatare?

Kama hutaki kufungaisha virago tupe sababu za msingi kwa nini unaona ubaki kuwa mwana CHADEMA. Imebidi nifikishie ujumbe wangu kwa MM na ACT nzima
My Take:-Makamanda na wapenda mabadiliko wote niungeni mkono katika hili. Mods msifute, kama inawauma muiteni aje ajibu kwa nini tusimfurumushe
 
Zitto aondoke tu!!!!aende akawe mwenyekiti wa ACT
 
Act wana mtaka akawe mwenyekiti wao taifa na aende tu kwa sasa hana impact kwa chadema amesha kua mzigo.
 
Jamani zitto kafanya makosa ,au hajafanya ni Act au siyo Act, kwa muda huu tumuache tu afanye yake hakuna sababu ya kumfukuza maana alisema atakuwa wa mwisho kutoka Chadema.
Sasa najiuliza Chadema ipo na itaendelea kuwepo kwa mujibu wa sheria huyu Zitto atatokaje Chadema akiwa mtu wa mwisho wakati chama ndo kinazidi kunawili! Muacheni tushuhudie kauli yake na mbinu atakayo tumia kutoka chadema.
 
Umejikanyaga wee lakini mwishoe unasema kama ZITTO anataka kuendelea kuwa CDM atoe sababu. Hii tafsiri yake nini? ZITTO hamumuwezi

Vua gamba ilikuwa kwa ajili ya nini? Kauli ya mizigo chamani kwenu yamlenga nani? Mkiti wenu humu ndani pana nyoka wenye ndimimbili alikuwa anamaanisha nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom