Zitto na movement for change (m4c-chadema)

kkitabu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2011
Posts
146
Reaction score
49
Nimekuwa nikifuatilia operation ya vua gamba vaa gwanda katika sehemu mbalimbali. Mhe. Zitto Zuberi Kabwe haonekani kwenye mikutano ya hadhara. Kama unajua sababu ambazo zinamfanya mheshimiwa huyu kutoshiriki tupia hapa.
Peoples
Power
Hakuna kulala
mpaka kieleweke
 
Dah! Hata mm nilikuwa na swali kama hilo lako mkuu nikijiuliza, acha tusibiro wanojua waje watupe majibu.
 
Yupo busy na kamati ya bunge.4r now yupo uholanza na Kafulila.
 
kwani hata tundu lisu ameonekana ? tuache unafki wengine wapo kwenye majukumu mengine
 
sio lazma kila mtu umuone pale, majukumu ya ukomboz ni meng. mh. Zito yupo uholanz kwa shughul nyngne
 
Nimekuwa nikifuatilia operation ya vua gamba vaa gwanda katika sehemu mbalimbali. Mhe. Zitto Zuberi Kabwe haonekani kwenye mikutano ya hadhara. Kama unajua sababu ambazo zinamfanya mheshimiwa huyu kutoshiriki tupia hapa.
Peoples
Power
Hakuna kulala
mpaka kieleweke

Uliishawahi muona Tundu Lissu?
 
anashiriki mno...majuzi alikua washington na m4c....

Hata mwanza alisaidia sana
 
Wapi tundu lissu au wewe kiongozi ni zitto peke yake.kila mtu anamajukumu yake au umetumwa?
 
Nimekuwa nikifuatilia operation ya vua gamba vaa gwanda katika sehemu mbalimbali. Mhe. Zitto Zuberi Kabwe haonekani kwenye mikutano ya hadhara. Kama unajua sababu ambazo zinamfanya mheshimiwa huyu kutoshiriki tupia hapa.
Peoples
Power
Hakuna kulala
mpaka kieleweke

Kuna siasa ndani ya Bunge na siasa nje ya Bunge. Mh Zitto mashambulizi yake ni ndani ya Bunge kama ni kweli wewe ni mfuatiliaji utakuwa umegundua hilo. Mbona huulizi Mh. Mnyika au Halima Mdee wao umewaonna wapi nje ya Bunge tofauti na majimbo yao?
 
Zitto yupo safarini ulaya kwa kazi za bunge acheni majungu ya kuchonganisha watu, kijana Yule ni jembe
 
Kuna siasa ndani ya Bunge na siasa nje ya Bunge. Mh Zitto mashambulizi yake ni ndani ya Bunge kama ni kweli wewe ni mfuatiliaji utakuwa umegundua hilo. Mbona huulizi Mh. Mnyika au Halima Mdee wao umewaonna wapi nje ya Bunge tofauti na majimbo yao?

we ndo umejibu hoja
 
Zitto alikuwa USA na sasa yuko Netherlands anahangaikia mambo ya Oil and Gas Master plan ili tusije lizwa kama ilivyo kwenye madini ya dhahabu.
Ameenda pick best practises nasi tuzitumie
 
Patriotic.....if the said is meant to be so........
 
Hivi kweli hamjaziona juhudi kubwa za zitto ndani ya chama chenu wenyewe? Kweli? Au ndo mmevaa miwani za mbao alizosema kikwete!!??
 
Back
Top Bottom