Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Uharibifu wa mazao ni tabia ya nzige na viwavi jeshiSizonje ana roho ya uharibifu!!!
Bado wanampongeza tuKwani walioandamana kumpongeza kipindi kile wanasemaje juu ya hili?
#Zitto_Kabwe Ameandika;
Je, wewe ni mkulima? Na familia yako inafanya kilimo? Au je, unamfahamu ndugu, jamaa au rafiki ambaye naye pia anajishughulisha na kilimo? - Basi mwambie haya; Mwaka jana, usafirishaji na uuzaji wa zao la korosho ulikuwa juu kama mti wa mnazi na inonekana dhahiri hapo kwenye mstari mrefu wa blue. Cha kusikitisha ni kwamba mwaka huu (ndani ya miezi kumi na mbili tu) usafirishaji na uuzaji wa zao la korosho umeshuka chini usawa wa kisigino cha mguu kama inavyoonekana hapo kwenye mstari mfupi mwekundu. Asante Mtukufu Rais John Pombe Magufuli kwa kutupokonya hata kile kidogo tulichokuwa nacho.View attachment 1043811
Bado wanampongeza tu
Nimesikia kwa sasa wameanza kuwapigia magoti wanunuzi hasa wahindi na wavietinam na sasa nao tayari washaenda west Afrika kununua new crop na kunazalishwa mwaka huu tani 800 000.Hatuwezi kujenga Uchumi wetu kwa Vitisho na Maneno.
Huko ulikotoa hizo data ni chanzo cha kuaminika? Sheria ya takwimu inasemaje?
Hayo ndio matokeo ya kuchagua shetani eti atupeleke peponi.#Zitto_Kabwe Ameandika;
Je, wewe ni mkulima? Na familia yako inafanya kilimo? Au je, unamfahamu ndugu, jamaa au rafiki ambaye naye pia anajishughulisha na kilimo? - Basi mwambie haya; Mwaka jana, usafirishaji na uuzaji wa zao la korosho ulikuwa juu kama mti wa mnazi na inonekana dhahiri hapo kwenye mstari mrefu wa blue. Cha kusikitisha ni kwamba mwaka huu (ndani ya miezi kumi na mbili tu) usafirishaji na uuzaji wa zao la korosho umeshuka chini usawa wa kisigino cha mguu kama inavyoonekana hapo kwenye mstari mfupi mwekundu. Asante Mtukufu Rais John Pombe Magufuli kwa kutupokonya hata kile kidogo tulichokuwa nacho.View attachment 1043811
Cha kushangaza bado wanampongeza na kumuombeaMkuu hao kwa sasa ndiyo wanalia kilio kibaya kwa maana hakuna anaye wasikiliza
In God we trust
Cha kushangaza bado wanampongeza na kumuombea
ukiona wanampongeza jua wamepangwa na usalama DSO na DC.. Hakuna mtu mwenye akili awezaye mpongeza kiongozi huyu Aliyefeli. unampongeza ukianzia wapi?Cha kushangaza bado wanampongeza na kumuombea