Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
#Zitto_Kabwe Ameandika;
Je, wewe ni mkulima? Na familia yako inafanya kilimo? Au je, unamfahamu ndugu, jamaa au rafiki ambaye naye pia anajishughulisha na kilimo? - Basi mwambie haya; Mwaka jana, usafirishaji na uuzaji wa zao la korosho ulikuwa juu kama mti wa mnazi na inonekana dhahiri hapo kwenye mstari mrefu wa blue.
Cha kusikitisha ni kwamba mwaka huu (ndani ya miezi kumi na mbili tu) usafirishaji na uuzaji wa zao la korosho umeshuka chini usawa wa kisigino cha mguu kama inavyoonekana hapo kwenye mstari mfupi mwekundu.
Asante Mtukufu Rais John Pombe Magufuli kwa kutupokonya hata kile kidogo tulichokuwa nacho.