Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

kashauriane na musiba kwanza kisha mtakachokubaliana uje useme atadhuriwa lini?
 
Zitto atakuja kuwa rais! Sema mfumo mbovu, hautupatii β€œle creme β€œ, bali loosers! ila naamini Mungu akiwa upande wetu watanzania atakuja kuwa rais wa nchi!
Pamoja na ukigeugeu wake, Zitto anaweza kuwa raisi bora na akaongoza nchi vizuri sana, Zitto ana akili sana kichwani..
 
Kuku wa familia anayetaga mayai ya dhahabu hupendwa na kulindwa na kila mwanafamilia. Akipotea abadan familia hupatwa taharuki. Tunapoona kuku wetu huyu katoweka, sisi tunatahayari lakini Baba wa familia hashtuki, tuna kila sababu ya kuhisi ama kamficha au kamdhuru.

ZZK
 
Kwa ujinga ulioandika, unajaza database ya JF na utumbo mtupu.... Ningekua mod ningekupa kadi nyekundu
 
Duuh! Ya Kweli Hayo???
 
ni kazi ya serikali kuoitia takukuru kutafuta ushahidi-sio kazi ya zito kuto ushahidi
 
πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…