Mpendakukimbiakimbia
Senior Member
- May 18, 2018
- 151
- 274
Whatever, ila utamfananishaje Zitto na yule kabwela? Mbingu na ardhiZitto anazingua. Kipindi kile kamtisha Musiba nkajikopesha bia kujipongeza mpaka sasa nadaiwa na Musiba yupo anadunda
Aisee mi tangu mzee wa Mchinga Mudhihiri Mudhihiri akatike ule mkono namwogopa sana Zitto!Aah! Mbona ule mkwara wa mwandika jarida mpaka leo umebaki story?
ulitaka musiba afanyaje ?
Wapi nimefananisha?!?!Whatever, ila utamfananishaje Zitto na yule kabwela? Mbingu ma ardhi
Hoja hujibiwa kwa hojaHoja zako hazina mashiko mkuu
Hiyo hawezi kuwa verified!!! Aiamishie usoni tuione nikaongeze mkopoKuna nyepesi nyepesi kuwa Musiba ile kitu ya kwenye kaptura haionekani!
Watu wategemee nini kutoka kwa jingalao? Ujinga tu. Hakuna hoja. Kuimba sifa na kuikingia kifua serikali.Siku za hivi karibuni Mbunge huyu kutoka Kigoma amejigeuza kuwa mwanaharakati kwa kushutumu Serikali katika kila jambo.
Hii ni tofauti sana na uanasiasa wa kitanzania.
Halipiti juma moja bila ya zitto kupost shutuma bila ushahidi dhidi ya Serikali.
Wachambuzi wa mambo wanaona ni kama vile anajiandaa kwa kufanya au niseme kujifanyia tukio la kudhuru ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Pengine lengo lake ni kuona Serikali inachafuka baada ya kukamilisha hiyo 'sinema ' yake.
Je unaishauri nini Serikali ya Magufuli kuepuka mtego huu?
Hahahaa...... Zitto kwa mikwara ya matumizi ya mitishamba hajambo!!
Zilete juu ya kapeti tuzione.Ziko chini ya kapeti hizo!
Toa ushahidi sasa, umeandika uzi kama barua ya mapenzi, hata barua ya mapenzi wakati mwingine huambatanishwa na picha kama ushahidi, hujaweka hata ushahidi mmoja wa mambo Zitto anayokosoa serekali na kuonesha hayana tija.Hoja hujibiwa kwa hoja
Unaongea na mange kimambiNimepiga picha na bashite ee?
Nitekwe nna nini?o
Jamaa anajua kucheza na mazwazwa yasiyojulikana kama yanaamini ushirikina..
Uchawi ungekuwepo tungetumia software za asili kumtafuta MO nadhani tungempata siku ile ile
Ni kumpuuza kama alivyopuuzwa tangu awali!Siku za hivi karibuni Mbunge huyu kutoka Kigoma amejigeuza kuwa mwanaharakati kwa kushutumu Serikali katika kila jambo.