Nguvu moja JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 3,371 Reaction score 2,715 Oct 15, 2018 #341 Inna said: Kuna mahali nmekuona we nyau utatekwaa ww Click to expand... Mie naogopa mkuu
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 Oct 15, 2018 #342 Nguvu moja said: Mie naogopa mkuu Click to expand... Unaogopa nn mkuu
Nguvu moja JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 3,371 Reaction score 2,715 Oct 15, 2018 #343 Twamo said: Aisee mi tangu mzee wa Mchinga Mudhihiri Mudhihiri akatike ule mkono namwogopa sana Zitto! Click to expand...
Twamo said: Aisee mi tangu mzee wa Mchinga Mudhihiri Mudhihiri akatike ule mkono namwogopa sana Zitto! Click to expand...
Nguvu moja JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 3,371 Reaction score 2,715 Oct 15, 2018 #344 Inna said: Unaogopa nn mkuu Click to expand... Hali tete mkuu, wasiojulikana wanatukosesha furaha ndani ya moyo Inna:
Inna said: Unaogopa nn mkuu Click to expand... Hali tete mkuu, wasiojulikana wanatukosesha furaha ndani ya moyo Inna:
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Oct 15, 2018 #345 Zitto ulishamwadhibu Musiba? CC: Mgambilwa ni mntu
YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,900 Reaction score 52,036 Oct 15, 2018 #346 Waziri wa Kaskazini said: Kwani alisha wahi kugombea urais?? Click to expand... Sasa Zitto uchawi wake anautumia kwa kipi cha faida kukaba watu usiku wakilala au?
Waziri wa Kaskazini said: Kwani alisha wahi kugombea urais?? Click to expand... Sasa Zitto uchawi wake anautumia kwa kipi cha faida kukaba watu usiku wakilala au?
Dr Programmer JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 313 Reaction score 343 Oct 15, 2018 #347 Robot la Matope said: Zitto anazingua. Kipindi kile kamtisha Musiba nkajikopesha bia kujipongeza mpaka sasa nadaiwa na Musiba yupo anadunda Click to expand... Kashamfanya bwabwa anazibuliwa una taarifa?
Robot la Matope said: Zitto anazingua. Kipindi kile kamtisha Musiba nkajikopesha bia kujipongeza mpaka sasa nadaiwa na Musiba yupo anadunda Click to expand... Kashamfanya bwabwa anazibuliwa una taarifa?
Inna JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 11,194 Reaction score 27,089 Oct 15, 2018 #348 Nguvu moja said: Hali tete mkuu, wasiojulikana wanatukosesha furaha ndani ya moyo Inna: Click to expand... we ni mfanyabiashara mkubwa au mwanasiasa?! Maan ndo wanatekwa kwa wingi
Nguvu moja said: Hali tete mkuu, wasiojulikana wanatukosesha furaha ndani ya moyo Inna: Click to expand... we ni mfanyabiashara mkubwa au mwanasiasa?! Maan ndo wanatekwa kwa wingi
suleiman omary JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 257 Reaction score 49 Oct 15, 2018 #349 Anajihisi tu.
B bantu kinabo Member Joined Aug 7, 2018 Posts 5 Reaction score 0 Oct 15, 2018 #350 kama vile naota Tz imefika hapo?
Robot la Matope JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 8,587 Reaction score 17,532 Oct 15, 2018 #351 Dr Programmer said: Kashamfanya bwabwa anazibuliwa una taarifa? Click to expand... Mbona nasikia iyo mambo toka kitambo akiwa presenter
Dr Programmer said: Kashamfanya bwabwa anazibuliwa una taarifa? Click to expand... Mbona nasikia iyo mambo toka kitambo akiwa presenter
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Oct 15, 2018 #352 Mr Ruyangwa kigoooma mwisho wa reli
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,185 Reaction score 7,368 Oct 16, 2018 #353 Herr muller said: kwani uliomba huyu mke wa ndeo akakunyima, maana mambo ya watu wawili ambae wako zaidi ya 18yrs inatoka wapi,kaa ni wapezi inakuhusu nini Click to expand... Mkuu, mke wa Deo hanihusu hata kidogo ila nasikitishwa kwa Zitto kuchapa mke wa rafiki yake ambaye ni marehemu. Hii inaonyesha kuwa alikuwa anamtamani toka marehemu yu hai.
Herr muller said: kwani uliomba huyu mke wa ndeo akakunyima, maana mambo ya watu wawili ambae wako zaidi ya 18yrs inatoka wapi,kaa ni wapezi inakuhusu nini Click to expand... Mkuu, mke wa Deo hanihusu hata kidogo ila nasikitishwa kwa Zitto kuchapa mke wa rafiki yake ambaye ni marehemu. Hii inaonyesha kuwa alikuwa anamtamani toka marehemu yu hai.
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,185 Reaction score 7,368 Oct 16, 2018 #354 boaz mwalwayo said: kwani kavuja sheria gani kuchukua mke wa marehemu Click to expand... Wewe unafikiri ni vema kwa mkeo kutom.bwa na rafiki yako baada ya wewe kufariki?
boaz mwalwayo said: kwani kavuja sheria gani kuchukua mke wa marehemu Click to expand... Wewe unafikiri ni vema kwa mkeo kutom.bwa na rafiki yako baada ya wewe kufariki?
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,743 Reaction score 6,273 Oct 16, 2018 #355 Mwami Ntale said: Hata kama ni chuki si kwa kiwango hiki. Zitto hana mafanikio kama mbunge? Click to expand... Yepi, taja.
Mwami Ntale said: Hata kama ni chuki si kwa kiwango hiki. Zitto hana mafanikio kama mbunge? Click to expand... Yepi, taja.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,059 Oct 16, 2018 #356 evansGREATDeal said: Kwahyo pale anajikaza tu?? Click to expand... Ameamua bora atafunwe tu sasa.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,059 Oct 16, 2018 #357 NAHUJA said: Zitto ulishamwadhibu Musiba? CC: Mgambilwa ni mntu Click to expand... Tayari, ndumba imejibu vizuri sana.
NAHUJA said: Zitto ulishamwadhibu Musiba? CC: Mgambilwa ni mntu Click to expand... Tayari, ndumba imejibu vizuri sana.
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Oct 16, 2018 #358 DOUGLAS SALLU said: Tayari, ndumba imejibu vizuri sana. Click to expand... Wacha weee. Musiba akaonesha viashiria vipi kwamba ndumba imempata?😳😳
DOUGLAS SALLU said: Tayari, ndumba imejibu vizuri sana. Click to expand... Wacha weee. Musiba akaonesha viashiria vipi kwamba ndumba imempata?😳😳
N Ndakilawe JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 4,815 Reaction score 2,832 Oct 16, 2018 #359 Zitto ana mikwara kama North Korea, halafu mweupe tu!
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,059 Oct 16, 2018 #360 NAHUJA said: Wacha weee. Musiba akaonesha viashiria vipi kwamba ndumba imempata?😳😳 Click to expand... Angalia post # 347
NAHUJA said: Wacha weee. Musiba akaonesha viashiria vipi kwamba ndumba imempata?😳😳 Click to expand... Angalia post # 347