imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,436 Jul 8, 2016 #61 Angalia kwa mfano CHADEMA kinawafuasi wengi wachaga kuliko chama chochote.
H Huey P jr JF-Expert Member Joined Apr 26, 2015 Posts 347 Reaction score 134 Jul 8, 2016 #62 Danny Jully said: Haya tusubiri Ba ***** atakapokabidhiwa mikoba ya uenyekiti wa chama ni kipi kitamponyoka....uraisi au uenyekiti. Wewe umemwona zito tu mbona wako wengi tu walioshika mbili? Click to expand... Mi huwa nawashangaa sana watu kwanini Zitto akifanya move yeyote utasikia wanakuja watu kumshauri mbona wanasiasa ni wengi tu hawaaaingaiki nao
Danny Jully said: Haya tusubiri Ba ***** atakapokabidhiwa mikoba ya uenyekiti wa chama ni kipi kitamponyoka....uraisi au uenyekiti. Wewe umemwona zito tu mbona wako wengi tu walioshika mbili? Click to expand... Mi huwa nawashangaa sana watu kwanini Zitto akifanya move yeyote utasikia wanakuja watu kumshauri mbona wanasiasa ni wengi tu hawaaaingaiki nao
K kibaye Member Joined Jul 2, 2016 Posts 10 Reaction score 3 Jul 8, 2016 #63 Hamumuoni aliyesema amebadilshia angani ndio hajitambui na sasa chombo chake cha usafir kimeanza kutoa moshi na angani Hanna gerej.
Hamumuoni aliyesema amebadilshia angani ndio hajitambui na sasa chombo chake cha usafir kimeanza kutoa moshi na angani Hanna gerej.
rusesa JF-Expert Member Joined Jun 1, 2013 Posts 538 Reaction score 234 Aug 11, 2016 Thread starter #64 yalimo said: mshika mbili moja......... Click to expand... hahahaaaaa
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,493 Reaction score 7,421 Aug 11, 2016 #65 Ngoja aje Mchange akujibu, maana yupo Facebook huku anaichambua safari ya zitto katika Uenyekiti wa Mbowe
Ngoja aje Mchange akujibu, maana yupo Facebook huku anaichambua safari ya zitto katika Uenyekiti wa Mbowe
mtunzasiri JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 1,449 Reaction score 993 Aug 11, 2016 #66 Taarifa zitakuwa zimemfikia abakie kigoma tuu act hairuhusiwi mikutano nje ya kigoma