Zitto, mshika mbili moja humponyoka

Vipi kuhusu raisi wa nchi na Mwenyekiti wa chama?
 
KUMBUKA ACT NI CHAMA KICHANGA MNOO HIVYO LAZIMA ZITTO TUMKUMBUSHE MAJUKUMU. KIGOMA MJIN SIO MCHEZO. KAMA HAKUTEKELEZA AHADI ZAKE KAMA ALIVOKUWA KIGOMA KASIKAZIN. HAPA MJIN ATANG'OLEWA HARAKA SANA. SIASA ZA KIGOMA MJIN ANAZIJUA WENGNE TOKWEN NA MAPOVUUU..
 
Nimesha kuchoma sindano, tulia dawa ikuingie vizuri.
Mbona wachaga huwa wanaungana mkono kwa kila jambo alakini sisi waha tunachukiana sana? Mahusuda mahusuda tu ukipigwa ule wimbo kigoma ndio tunajifanya tunapendana.
 
Mbona wachaga huwa wanaungana mkono kwa kila jambo alakini sisi waha tunachukiana sana? Mahusuda mahusuda tu ukipigwa ule wimbo kigoma ndio tunajifanya tunapendana.
hahahaaaaa dawa inaingia vizuri kabsaaaa wacha kuparuka paruka!
 
Ovyooooooooo
 
Kwa taarifa fupi ni kwamba iko siku ZITTO KABWE ataingia magogoni na kua raisi wa jmt.
 
Kweli nimeamini utahila ni kujitakia
Sasa mleta maada si uchague cha kumsaidia
 
 
Sioni tatizo la kofia mbili kama mtu ana uwezo wa ku-manage tasks mbalimbali bila kuathiri ubora. Labda kama tatizo la mleta uzi ni Zitto as a person. Ikiwa lengo ni kumshughulikia Zitto basi hoja hii ni inappropriate. Tafuta nyingine!!

Ila nafikiri nchi yetu ina matatizo mengi sana sasa hivi yanayohitaji kushughulikiwa na kujengewa hoja zaidi ya Zitto.

Kuna watu duniani na hata hapa Tanzania ambao wana roles (kofia) zaidi ya mbili na wamekuwa na mafanikio makubwa.

Naomba tu nimkumbushe mleta thread kuwa mahitaji ya modern world tuliyonayo sasa ni multitasking. Tuachane na traditional thinking.
 
Leo ndio umejua mshika mbili moja umponyoka? Mbona JK alikua Rais na Mwinyekiti wa CCM? Mbona Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA na ni Mbunge na vyama vyao vinaendelea vizuri? kwanini iwe kwa Zitto tu?
Nafasi aliyonayo Zitto kwenye chama chake ni kama katibu mkuu ktk mfumo wa vyama vingine, na katibu mkuu ni mtendaji wa kazi za chama kila siku
 
Sijui zito kawachoma na nini? Hamchoki kumzungumza, kwa bunge hili lililopita vijana waliojenga hoja ni zitto na mbunge wa nzega tu,. Na chadema wamepwaya ki upinzani, mkiulizwa sababu ya kutoka nje badala ya kutafuta hoja ndani ya bunge hakuna.
 
Naomba unisaidie kwa facts kosa zito ni nini hasa?
 
Au kosa la zito ni kutaka kujadili bajeti ya magu kwa mkutano wa ndani?
 
Mwogope sana mtu anayezungumzia ukabila!
Tuambiane ukweli bila unafiki wachaga munahamu kubwa ya kuitawala nji hii.angalia mtei,mrema,mbowe.nk.nk. alafu unasema ukabila hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…