mshika mbili moja.........Habari wana JF,
Leo naomba nizungumzie kofia mbili za mbunge wa Kigoma manispaa ujiji.
Kofia hizo ni;
a) Mbunge wakigoma manispaa ya ujiji
b)Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo.
Sasa wapi penye uzito? Hakuna mtu aliyeweza kushika mambo mawili na yote yakaenda kwa usahihi.
Majukumu ya kofia ulizonazo ni kama yafuatayo;
a) Kuwatumikia wananchi wa kigoma ujiji, hasa wananchi wanyonge. wanapoonewa!
b)Kutetea wanyonge jimboni kwako kila mda uhitajikapo.
c)Kusimamia kazi za chama chako.
d)Kubuni njia za kukuza chama.
e)Kuwaletea wananchi wa Kigoma manispaa maendeleo mfano barabara, maji, umeme wa uhakika n.k.
f)Mengineyo yaliyojificha.
Ndugu yangu Zitto naona sasa hivi unapambania chama chako huko Dar es Salaam. Kumbuka kuwa 2020 itafika. wananchi kama hawatapata maendeleo huko mbele ubunge utausikia mtamboni.
Mwisho: Mshika mbili moja humponyoka.
Nawasilisha!

Kwa hiyo Magufuli asipewe Uenyekiti wa CCM kwasababu ana cheo cha Urais wa nchi .. Si ndio?Habari wana JF,
Leo naomba nizungumzie kofia mbili za mbunge wa Kigoma manispaa ujiji.
Kofia hizo ni;
a) Mbunge wakigoma manispaa ya ujiji
b)Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo.
Sasa wapi penye uzito? Hakuna mtu aliyeweza kushika mambo mawili na yote yakaenda kwa usahihi.
Majukumu ya kofia ulizonazo ni kama yafuatayo;
a) Kuwatumikia wananchi wa kigoma ujiji, hasa wananchi wanyonge. wanapoonewa!
b)Kutetea wanyonge jimboni kwako kila mda uhitajikapo.
c)Kusimamia kazi za chama chako.
d)Kubuni njia za kukuza chama.
e)Kuwaletea wananchi wa Kigoma manispaa maendeleo mfano barabara, maji, umeme wa uhakika n.k.
f)Mengineyo yaliyojificha.
Ndugu yangu Zitto naona sasa hivi unapambania chama chako huko Dar es Salaam. Kumbuka kuwa 2020 itafika. wananchi kama hawatapata maendeleo huko mbele ubunge utausikia mtamboni.
Mwisho: Mshika mbili moja humponyoka.
Nawasilisha!
Act wazalendo sio kama chadema. Act ni chama kichanga mno. pia Act sio chadema ujue hiloLeo ndio umejua mshika mbili moja umponyoka? Mbona JK alikua Rais na Mwinyekiti wa CCM? Mbona Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA na ni Mbunge na vyama vyao vinaendelea vizuri? kwanini iwe kwa Zitto tu?
Habari wana JF,
Leo naomba nizungumzie kofia mbili za mbunge wa Kigoma manispaa ujiji.
Kofia hizo ni;
a) Mbunge wakigoma manispaa ya ujiji
b)Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo.
Sasa wapi penye uzito? Hakuna mtu aliyeweza kushika mambo mawili na yote yakaenda kwa usahihi.
Majukumu ya kofia ulizonazo ni kama yafuatayo;
a) Kuwatumikia wananchi wa kigoma ujiji, hasa wananchi wanyonge. wanapoonewa!
b)Kutetea wanyonge jimboni kwako kila mda uhitajikapo.
c)Kusimamia kazi za chama chako.
d)Kubuni njia za kukuza chama.
e)Kuwaletea wananchi wa Kigoma manispaa maendeleo mfano barabara, maji, umeme wa uhakika n.k.
f)Mengineyo yaliyojificha.
Ndugu yangu Zitto naona sasa hivi unapambania chama chako huko Dar es Salaam. Kumbuka kuwa 2020 itafika. wananchi kama hawatapata maendeleo huko mbele ubunge utausikia mtamboni.
Mwisho: Mshika mbili moja humponyoka.
Nawasilisha!
Hivi umesoma ulichoandika? Kazi ya katibu wa chama ni nini?Act wazalendo sio kama chadema. Act ni chama kichanga mno. pia Act sio chadema ujue hilo
Hivi zito unamchukuliaje wewe ? ZZK ni kijana anayeweza kucheza michezo yote, Hatetereki hata umpe vyeo.Habari wana JF,
Leo naomba nizungumzie kofia mbili za mbunge wa Kigoma manispaa ujiji.
Kofia hizo ni;
a) Mbunge wakigoma manispaa ya ujiji
b)Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo.
Sasa wapi penye uzito? Hakuna mtu aliyeweza kushika mambo mawili na yote yakaenda kwa usahihi.
Majukumu ya kofia ulizonazo ni kama yafuatayo;
a) Kuwatumikia wananchi wa kigoma ujiji, hasa wananchi wanyonge. wanapoonewa!
b)Kutetea wanyonge jimboni kwako kila mda uhitajikapo.
c)Kusimamia kazi za chama chako.
d)Kubuni njia za kukuza chama.
e)Kuwaletea wananchi wa Kigoma manispaa maendeleo mfano barabara, maji, umeme wa uhakika n.k.
f)Mengineyo yaliyojificha.
Ndugu yangu Zitto naona sasa hivi unapambania chama chako huko Dar es Salaam. Kumbuka kuwa 2020 itafika. wananchi kama hawatapata maendeleo huko mbele ubunge utausikia mtamboni.
Mwisho: Mshika mbili moja humponyoka.
Nawasilisha!
Ukweli upi ulioandika hapo hata mtoto mdogo akisoma anaona umeandika ujinga tu.hahahaaaaa ukweli umekuuma mzee.