Zitto: Mshahara wa Rais wa JMT ni sh 384/= mil kwa mwaka

Sasa napata picha ni kwanini Slaa anahangaika kuwa Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pesa anayolipwa ndani ya chama kama katibu mkuu na pia mshahara anaolipwa kupitia nafasi yake ndani CCBRT ameuona haumtoshi ila mpaka anataka na wa Uraisi?

cjaelekwa lengo la thread yako.usema mshahara wa rais ghafla unamrukia Dr.Slaa.btw unaweza kunipa ushahidi usio na shaka kuwa Dr.Slaa anautaka urais
 
Usichanganye huduma za jamii CCBRT ma siasa!uliza mshahara wote huo kikwete kaifanyia nini tanzania?gas kg15 kutoka sh 18000 mwaka 2005 mpaka sh 54000 sasa
 
Zito tangu wenzake wamtenge kwenye chama chao kaamua kuwa na siasa za ukatuna ambazo huwa hazina hoja bali huchekesha na kufurahisha ndiko aliko zito kwa sasa.

Zitto mkuu Simiyu Yetu anakipenda chama alichokijenga kwa nguvu zake hata kama makamanda wanamtenga. Lema anasema wamempa zitto kamba ajinyonge mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
cjaelekwa lengo la thread yako.usema mshahara wa rais ghafla unamrukia Dr.Slaa.btw unaweza kunipa ushahidi usio na shaka kuwa Dr.Slaa anautaka urais
Kamanda raisi wako anafanya tour ya vision for Tanzania na josephine ameshamtangaza yeye ndie raisi ajaye.
 
Kusini mwa jangwa la Sahara JK ndio Raisi analipa mshahara kiduchu zaidi ya wote,hafikii hata Mbunge na Seneta wa Kenya!!!
 
Raisi analipwa kiasi cha millioni 384 sawasawa na shilingi milioni 32 kwa mwezi. By zitto.

Mkuu Chamviga,

Je, takwimu hii ya mshahara wa raisi wa JMT ni sahihi kwa kiasi gani?

Je, mshahara huu unajumisha posho na marupurupu yote anayolipwa Mh Raisi?

Je, mshahara huu ni kabla ama baada ya makato ya kodi? ama mshahara huu hautozwi kodi?

Kimsingi mshahara huu wa Raisi kwa muktadha wowote ni kiwango kikubwa sana cha pesa kwa mwezi hususani kwa mtumishi wa umma, bila shaka ni eneo lingine la kutazamwa kisheria wakati tunaendelea na mchakato wa katiba mpya.
 
hiyo hela zidisha mara miaka almost nane aliyokaa madarakani unapata sh bilion3 na ushee. jumlisha na maposho na marupurupu yote ya uraisi ambayo inawezekana ni mara 2 au tatu ya mshahara unapata kitu kama bilioni kumi.kumbuka hizi hela hazitumiki maana raisi anahudumiwa kwa kila kitu kuanzia kufuli ya ndani. Ukijua na madili mengine unaweza kuzimia.
 
zito namshusha hadhi day by day
ameanza tangu asubuhi leo twitter kuweka mishahara ya obama, cameroon, PM wa india, etc
now kaweka wa JK
so what?
Charity begins at home aseme yeye pamoja na vyeo vyote ana earn sh ngapi?
 
Mkuu Chamviga,

Je, takwimu hii ya mshahara wa raisi wa JMT ni sahihi kwa kiasi gani?

Je, mshahara huu unajumisha posho na marupurupu yote anayolipwa Mh Raisi?

Je, mshahara huu ni kabla ama baada ya makato ya kodi? ama mshahara huu hautozwi kodi?

Kimsingi mshahara huu wa Raisi kwa muktadha wowote ni kiwango kikubwa sana cha pesa kwa mwezi, bila shaka ni eneo lingine la kutazamwa kisheria wakati tunaendelea na mchakato wa katiba mpya.

Mkuu hiyo ni take home kaka. Ondoa na Posho za Safari
 
Mkuu Chamviga,

Je, takwimu hii ya mshahara wa raisi wa JMT ni sahihi kwa kiasi gani?

Je, mshahara huu unajumisha posho na marupurupu yote anayolipwa Mh Raisi?

Je, mshahara huu ni kabla ama baada ya makato ya kodi? ama mshahara huu hautozwi kodi?

Kimsingi mshahara huu wa Raisi kwa muktadha wowote ni kiwango kikubwa sana cha pesa kwa mwezi, bila shaka ni eneo lingine la kutazamwa kisheria wakati tunaendelea na mchakato wa katiba mpya.

Huu mshahara kwa mujibu wa zitto hauhusiani na marupurupu wala hauna makato yoyote. Katiba mpya inapaswa kuingiza kipengele cha kodi kwenye mshahara wa viongozi hawa ambao ni excluded katika kulipa kodi. Hayo mengine tumuulize zitto.
 
Zito ningemuona wa maana sana endapo angechukua mishahara yote ya marais duniani akatuwekea hapa ili tujue kama jk analipwa tofauti na wanavyolipwa marais wengine hapo ndipomtungeona udhati wa hoja yake,

Lakini kuruka na maneno matupu ni kupoteza mda na kujitahidi kudanganya watu,

Lakini pia zitto angetwambia nyerere alikuwa analipwa kiasi gani,mkapa,mwinyi,nk na aweke uthibitisho wa hayo malipo ikiwa nimpamoja na kuwepo kwa viambatisho vya malipo,benki wanazolipiwa make mimi navyojua rais hana mshahara ila hulipwa posho tu hii maneno ya zito siiamini hata chembe,

Lakini dalili za mfa maji ni kutapatapa sasa zito sifa hizo anazo nadhani ndiyo basi tena.
 
Kwa hiyo ulitaka tufanyeje?

Unapewa TAARIFA sio SIRI; Nadhani Unajua MALKIA analipwa kiasi GANI PRIM MINISTER analipwa kiasi GANI lakini cha wa CCM unajibu kwa kejeli haujui hizo pesa zinatoka wapi????

Be Real... Kama Unakipenda CCM lazima wafuate ETHICS... Kama wewe haufuati na 2o15 Bandari inakuwa chini ya Utwala Mwingine basi Biashara yako is going down the DRAIN
 
Back
Top Bottom