Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

Shame of you!How about KIWIRA CORE MINE?jifunike shuka Dada Mzee anarejea

Why should I be ashamed and what I said is nothing but the truth. You are the one should be ashamed of yourself either you do not know what you are talking about or you are one of the beneficial of corruption. Things have changed accept it and move on.
 
ZITTO ni mnafiki sana na hasa anapokuwa anatafuta political gain kwenye public.
Ndiyo maana Chadema walimfukuza sasa anataka kujikomba kwa Tundu lisuu

Hana lolote watu wameishamugunduwa. Aache kuwaonea na kuwatetea watu wa kigoma wengi wao hawana sauti, anamtetea billionear ambaye anaweza kuajili mawakili wa kumtetea hata Mia moja. Ana wasiwasi kwa kukosa kazi na deals, karibu atashindwa kulipa madeni yake, deals za safari za bure Hakuna. Kwa serikali ya Magufuli hana cha kusema wala cha kutisha. Hana jipya akatafute kazi.
 
Sio kazi yako mkuu hata ww hukupigiwa kura kuwa Na mkeo jitoe ufaham

Nilijuwa huwezi kutaja jina la yeyote, kwa kuwa wote hawana la kuwa offer wa Tanzania ni wizi mtupu. Wamuunge mkono Rais Magufuli kupigana na hali mbaya iliyopita nchini. Watoto wetu wanamalizwa na madawa. Mafisadi wametumaliza, either Chukuwa jembe ukalime kama huna kazi ama unyamaze kama huna cha kusema.
 
Maisha tunayoishi kwa sasa Tanzania yana bifu ndani yake ,serikali inaamua tafuta visingizio ili kumhalibia kuharibu maisha ya wengine ,Leo utafanyia mwenzako mabaya ila ipo siku nawe yatakukuta,kuna viongozi Wa ngazi za juu wanatumia viongozi Wa ngazi za chini kuchokonoa maisha ya wengine ,hao hao viongozi wakiwa majukwaani wanaonekana wema ,hakuna wema wowote ila wanafjifanya wema ila wameficha mapanga migongoni, kikubwa sana katika serikali ya tz kinacho sumbua nichuki za kisiasa ,hao hao wanao wasaidia vjana kujikwamua na umasikini bado ndo hao hao mnawawekea vikwazo ,kiukweli kama ni sheria ifate mkondo wake ,sheria iongee na siyo cheo cha MTU, ukuwa kwa upanga ipo siku nawe vivyohivyo

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Huwa siwezi kukaa kutoa maana kwa watu wenye uelewa mfupi kama soksi ya mtoto.

Utafuniwe kila kitu hiyo ni sawa na kupewa denda
Ww ndo una akil fup xuala ni xheria kufuat mkondo bila kumuonea m2 cyo ccm wa ungane kumtetea mwenzio et kw xabab cyo mpinzan (solid minded people in this world are no longer needed)
 
kwenye gazeti moja la michezo la leo si nmesoma kwamba MANJI ainunua kampuni ya TIGO au hii imekaaje wakuu? This is bongoland where the wonders never end. So who is who, whom to trust? IN GENERAL LIFE IS VERY INTERESTING, LIVE YOUR OWN LIFE.
 
Nasubiri kuona Manji akinyang'anywa na ile kadi ya CCM, na hapo ndio nitafurahi zaidi. CCM ni chama cha Fitna, Visasi, Ushirikina, Ufisadi na Ujanja. Manji alichokoza moto wa Ngosha na sasa anakiona cha mtema kuni. Na bado, huo ni mwanzo tu, makubwa yanakuja.

CCM oyeee.
Hapa kazi tu.
Wewe acha ufwala,,,
 
Ww ndo una akil fup xuala ni xheria kufuat mkondo bila kumuonea m2 cyo ccm wa ungane kumtetea mwenzio et kw xabab cyo mpinzan (solid minded people in this world are no longer needed)
Kutumia x badala ya S ni kosa kubwa sana unapoandika ujumbe unaonihusu " huo uvulana wako upeleke kwa wavulana wenzako".

Mwandiko wa kike jina la kiume una matatizo gani wewe ?
 
Tatizo ni kwamba uongozi tulionao sasa unaongoza kwa chuki, wanawachukia sana waliofanikiwa kimaisha kabla, kama mnakumbuka bwanamkubwa aliwahi kusema anataka matajiri waishi kama mashetani akiwa na maana kwamba waishi kama masikini na kitu ambacho hakiwezekani mtu katafuta hela miaka mingi unakuja kumletea jearous kama ulimsaidia katafuta! We have hopples leaders.

Sent from my TECNO F6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tunahamia dodoma tafadhali sana acha kupotosha kwamba yanga imeasisiwa na TANU/CCM hahaha hebu fuatilia kwa umakini lini yanga imeanzishwa na hiyo TANU yako imeasisiwa lini ukipata jibu ndio uje uandike tena kwa ufasaha.
 
Of coz sikujui probably ndiyo maana nimeandika ivyo anyway its ok nimebadil ku suit umri wako ehe sema
Sipendi hiyo miandiko ya kitoto kuandika lugha zimebebana zenye rangi tofauti.

Maana yake ni kwamba unajua hizo lugha mbili ila tumia lugha moja.

Kuwa makini dogo !!
 
Back
Top Bottom