Mkuu alizoea zamani ukipigapiga porojo kama hizo unashikwa mkono mambo yaishe, lakini Ngosha hataki kusikia huo ujinga kwenye pesa ya serikali.Zito Kabwe siyo intelligent man, na anajifanya much know lkn ni mtupu kuliko hata hata hewa!
Ndiyo Gas inaweza kuzalisha hata MW 10 000 lkn kwa gharama gani? Na hiyo fedha nani atalipia, tutaitoa wapi?
Watu wanatumia umeme wa Maji kwa sababu is the cheapest available option kulingana na mazingira yetu, this guy sucks, man!
Yaani ndio chanzo cha kukomaa, ili kujaribu kama zama zitarudi. Lakini sio kwa Ngosha anakaba mpaka pebati.