seniorgeek
JF-Expert Member
- Sep 18, 2008
- 500
- 128
wewe nawe wa wapi?
Ukishajua mimi wa wapi ndio unataka nikukaribishe nije nikutungue sio?

Mheshimiwa Zitto Kabwe habari. Ni ukweli ambao kuna siku itabidi uukubali ingawa sasa utaona uzushi kama uzushi mwingine. Hawa watu (JF na Viongozi wa Chadema) hawakuamini kabisaaa! Mfano baadhi ya viongozi wenzako wanatumia magazeti yao kukuchafua kila uchao. Bila kuuma uma maneno hawan kuamnini kwa sababu ni MUISLAMU! Sina uhakika na uislamu wako ila hilo lina watia hofu sana. Umekuja mara nyingi hapa kujitetea lakini bado hawakuamini so long you are still a MUSLIM.
Ukitaka wakuamini, badili DINI uwe MKRISTO ikiwezekana MKATOLIKI kisha tafuta binti wa waasisi umuoe! Hapo utapewa uwenyekiti!
sina chuki na wewe kwa sababu hata mimi nina kwetu. ila unanisikitisha na huo ujeuri wako. kushiriki kujenga chama unakuwa jeuri namna hiyo, je ingekuwa umeshiriki kukianzisha? si kingekuwa kimeparaganyika kama vyama vya lyatonga?
Ahsante sana kwa ufafanuzi wako mzuri ndugu Zitto. Ninakuheshimu kwa kuwa muwazi kabisa kuwa una ambitions za kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku moja Inshallah. Ni viongozi wachache sana wenye ujasiri kama huo.
Ifikapo mwaka 2015 tutarejea kwenye kumbukumbu hii ya humu JF na kunukuu maneno yako haya mazito:
1. "Kumekuwa na juhudi za makusudi za watu kutaka nitoke CHADEMA, narudia tena siwezi kutoka."
2. "Kwamba nazungumza na NCCR ni uwongo, ni uzushi na propaganda yenye nia mbaya kwangu."
Mimi binafsi kama Fareed naomba niweke wazi kuwa siko ndani ya CHADEMA, wala si mwanachama wa chama hiki. Ila wewe mwenyewe umekiri hapa kuwa unasikitishwa na baadhi ya viongozi wenzako ndani ya CHADEMA ambao wanaamini propaganda za "chuki, fitna, na WIVU!" dhidi yako.
Ukweli wa yote haya utathibitika tutakapokaribia uchaguzi wa 2015. Inshallah katiba itabadilishwa 2014 ili wewe na Watanzania wengine wote wenye umri wa chini ya miaka 40 waweze kugombea Urais. Ninavyojua ambitions zako, sitashangaa kama utachukua fomu kutaka uwe mgombea Urais wa CHADEMA mwaka 2015 iwapo katiba/sheria husika zitabadilishwa kuruhusu hiyo.
Kwa mujibu ya maoni ya watu kadhaa (me included), it is highly unlikely that CHADEMA will pick Zitto Kabwe as its presidential candidate in 2015 kutokana na mazingira halisi ya siasa za Tanzania na ndani ya chama hicho chenyewe. Sasa wewe na strong ambitions zako utafanyaje hapo? Ndiyo navyoona habari za wewe kuhamia NCCR na kuwa mgombea wake wa Urais 2015 zinaleta mantiki. Sidhani kama una subira kama aliyokuwa nayo Jakaya Kikwete kungoja miaka 10 kutoka 1995 mpaka 2005 alipofanikiwa kuteuliwa kuwa mgomea Urais wa CCM. Una sifa nyingi za uongozi, sijui kama patience is one of your virtues.
Lakini kwa kuwa umesema mwenyewe Zitto kuwa kamwe hutakihama CHADEMA. Hiyo ni habari njema, tusubiri matokeo ya kuelekea uchaguzi wa 2015 kama utakuwa mkweli kwenye ahadi yako hii.
Kushiriki kikamilifu kujenga chama ni kigezo za JEURI YA CHADEMA! Wala sioni aibu kujivunia hilo. Kushiriki kwangu kujenga chama ndio kumewafanya wengi muingie CHADEMA. Nimekuwa mbunge miaka mitano na nimeshiriki kukipandisha sana chama. Lazima nijidai na huna mamlaka kunizuia kujidai. Kama una chuki saga nyembe umeze, sina cha kukusaidia
Pole sana kijana mwenzangu, hao watu wenye Zittophobiasis(Ugonjwa wa wifu, chuki na fitina) watakuwa wanatajirika sana kwa kulipwa na hao wasiokitakia mema chama cha Chadema. Sasa ukitaka watu warudishe imani kwako nakushauri urudie enzi zile za Buzwagi, I mean ibua mabomu mazito mjengoni maana yapo mengi.Huu ni utabiri kama wa tabiri nyingine tu na wasomaji wachukulie kama utabiri. Sina mazungumzo yeyote na chama chochote kuhusu kugombea Urais. Ni kweli nina ambition. Ambition zangu zimo ndani ya CHADEMA, chama ambacho nimeshiriki kukijenga.
Kumekuwa na juhudi za makusudi za watu kutaka nitoke CHADEMA, narudia tena siwezi kutoka. Narudia, sijawahi kuwa mwanachama wa chama kingine choochote maishani mwangu tofauti na CHADEMA. Narudia, zaidi ya nusu ya umri wangu nimeutumia CHADEMA. Nimetumia nguvu zangu, akili zangu na rasilimaliu zangu kusaidiana na wenzangu kujenga CHADEMA.
Kwamba nazungumza na NCCR ni uwongo, ni uzushi na propaganda yenye nia mbaya kwangu.
Sizungumzi na mtu yeyote kuhusu kuhujumu chama changu. Nimeshasema yeyote mwenye ushahidi na jambo hili autoe. Gazeti la Mwanahalisi lilitoa muda na namba za simu za watu ninaozungumza nao. Nimewachallenge waseme nilikuwa nazungumza nini. Watoe content ya mazungumzo na kama itaonekana kwa namna yeyote ile nilihujumu chama changu nitawajibika.
Watanzania wamekuwa na tabia ya kuamini mambo kwa mkumbo.
Uzushi dhidi yangu umekuwa ukichukuliwa na watu kama ukweli tena ukweli mtupu. Watu kwa malengo yao wamekuwa wakitumia majina zaidi ya moja kwa mtu mmoja na kuingia JF kuandika uzushi (kama huu wa leo) ili kunichafua na kunigombanisha na wenzangu. Bahati mbaya sana baadhi ya viongozi wenzangu wa chama wanachukua chuki, fitna na uwongo unaoandikwa humu kama ukweli. Inasikitisha sana.
Ninapenda kuwafahamisha wasomaji wote wa JF kuwa sehemu ya habari iliyoandikwa hapa katika thread hii ni uwongo wa makusudi dhidi yangu. Ni imagination ya mtu ambaye anaumwa ugonjwa wa ZITTOPHOBIASIS! Ugonjwa ambao watu wengi wanaumwa na ninasikitika kuwa dawa ya ugonjwa huu hata kwa babu haupo maana ni ugonjwa unasambazwa na ugonjwa wa chuki, fitna, na WIVU!
Huu ni utabiri kama wa tabiri nyingine tu na wasomaji wachukulie kama utabiri. Sina mazungumzo yeyote na chama chochote kuhusu kugombea Urais. Ni kweli nina ambition. Ambition zangu zimo ndani ya CHADEMA, chama ambacho nimeshiriki kukijenga.

Sizungumzi na mtu yeyote kuhusu kuhujumu chama changu. Nimeshasema yeyote
mwenye ushahidi na jambo hili autoe. Gazeti la Mwanahalisi lilitoa muda na namba
za simu za watu ninaozungumza nao. Nimewachallenge waseme nilikuwa nazungumza nini. Watoe content ya mazungumzo na kama itaonekana kwa namna yeyote ile nilihujumu chama changu nitawajibika.
Watanzania wamekuwa na tabia ya kuamini mambo kwa mkumbo.
Uzushi dhidi yangu umekuwa ukichukuliwa na watu kama ukweli tena ukweli mtupu. Watu kwa malengo yao wamekuwa wakitumia majina zaidi ya moja kwa mtu mmoja na kuingia JF kuandika uzushi (kama huu wa leo) ili kunichafua na kunigombanisha na wenzangu. Bahati mbaya sana baadhi ya viongozi wenzangu wa chama wanachukua chuki, fitna na uwongo unaoandikwa humu kama ukweli. Inasikitisha sana.
Ninapenda kuwafahamisha wasomaji wote wa JF kuwa sehemu ya habari iliyoandikwa hapa katika thread hii ni uwongo wa makusudi dhidi yangu. Ni imagination ya mtu ambaye anaumwa ugonjwa wa ZITTOPHOBIASIS! Ugonjwa ambao watu wengi wanaumwa na ninasikitika kuwa dawa ya ugonjwa huu hata kwa babu haupo maana ni ugonjwa unasambazwa na ugonjwa wa chuki, fitna, na WIVU!
Cdm wangekuwa wanakubalika kihivo walau wangesimamisha mgombea ktk kila jimbo which they didn't. surprise surprise..
Kushiriki kikamilifu kujenga chama ni kigezo za JEURI YA CHADEMA! Wala sioni aibu kujivunia hilo. Kushiriki kwangu kujenga chama ndio kumewafanya wengi muingie CHADEMA. Nimekuwa mbunge miaka mitano na nimeshiriki kukipandisha sana chama. Lazima nijidai na huna mamlaka kunizuia kujidai. Kama una chuki saga nyembe umeze, sina cha kukusaidia
Hana ujeuri wewe ndio umeona hivyo..wengine hatujaona hivyo. Ulitaka ajibuje sasa?? toa mfano wa jibu linaloonesha kuwa huyo mtu siyo jeuri.
.
Bahati mbaya sana baadhi ya viongozi wenzangu wa chama wanachukua chuki, fitna na uwongo unaoandikwa humu kama ukweli.
Kweli mkuu,na watu wanatumia hoja nyepesi kuwa siasa sio chuki ila kwa aina ya siasa zetu ukaribu wa aina hii na tena ambao hakuwepo zamani ni kupunguza makali ya hoja za msingi ni bora akane kuzungumza nao kuliko kusema tumezungumza nini! Hìi ni sawa na kukuta unaongea na mtoto wangu under 16 kwenye mazingira hatarishi alafu uniambie leta ushahidi nini tulikuwa tunaongea! Nitakufirigisa mbaya!Mh Zitto, binafsi nashukuru umejitokeza kukanusha hili suala. Nina maswali machache tu ambayo ukiyatolea majibu itatusaidia wengi kujua kuwa bado u pamoja nasi.
1. Kufuatia taarifa ya Mwanahalisi kuhusiana na zile simu ni UKWELI ulikuwa unawasiliana na mmoja wa viongozi waandamizi wa TISS. Ila ulitoa challenge walete content of communication kuprove kwamba uliuhujumu chama. Kwa sisi tuliobahatika kupata mafunzo ya kijeshi, mnapokuwa vitani halafu kamanda mwenzenu (anaongea na adui TISS mwenye Game Changing capabilities) kwa njia zake binafsi bila timu ya makamanda wenzio kujua, unajua hilo jambo likifahamika, utapelekwa kwenye court marshall na hukumu yake ni kifo kwa risasi. Hilo ni bila kujali ulikuwa unaongea naye nini. Sababu ni kuwa imani ikiondoka kushinda ni kazi au almost impossible. Wewe binafsi huoni kama lile lilikuwa ni kosa kubwa au bado unataka mpaka walete na maongezi?
2. Mawasiliano yako na mkuu wa nchi kwa njia binafsi huoni kuwazinazoofisha au kupunguza negotiating power kama chama?
Nijambo zuri kuona unajivunia kuwa umejenga Chadema kwa nusu ya umri wako. Sote tuliopitia System yetu ya Elimu tunafahamu kuwa Usalama wa Taifa umekuwa unarecruit vijana tokea wakiwa shule za Sekondari. Sasa unaweza kuwa umekulia Chadema ila matendo yako wakati mwingine yanasabisha maswali mengi ambayo majibu yake umekuwa ukiyajibu lightly. Utakubaliana nami kuwa Watanzania wa leo kiasi fulani wapo tofauti na wakipindi cha chuma. Kwa hiyo kama kiongozi usiwakatishe tamaa maana wewe ni role model wao.
Pili ushauri wa bure, ni kwamba kamwe watu waliopo madarakani hata siku moja hawatoki/hawaachi madaraka kwa hiari yao ila tu kama kuna katiba imara inayowaamuru watoke na wananchi (including waliopo kwenye security organs)watakapokuwa wanauelewa mzuri wa civics. Hivyo basi kwa mazingira yetu bila collective power kamwe hatutaweza kuwaondoa kina future CCM ya kina Ridhiwani and Co. Sidhani kama utapenda kuona watoto wako wanaongozwa na kiongozi kama tuliyenaye leo(aliyeonyesha mapungufu lukuki) ambaye wewe binafsi unamfagilia.
Bahati mbaya sana baadhi ya viongozi wenzangu wa chama wanachukua chuki, fitna na uwongo unaoandikwa humu kama ukweli.
Mh Zitto, binafsi nashukuru umejitokeza kukanusha hili suala. Nina maswali machache tu ambayo ukiyatolea majibu itatusaidia wengi kujua kuwa bado u pamoja nasi.