Zitto leo ndani ya Tabora Mjini, kufungua matawi katika kata zote.

Status
Not open for further replies.

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
526
583
Mh. Naibu katibu mkuu wa CHADEMA taifa, Zitto Z Kabwe atautikisa mji wa Tabora na viunga vyake hii leo kwa kufungua matawi ya chama katika kila Kata ya Mji huo.


Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mh. Zitto aliwajulisha wananchi wa Tabora mjini wajiandae kupokea ujio huo mzito wenye malengo ya kuiokoa Tabora.

Wale wenye taarifa zaidi , hasa mlioko tabora mtujuze zaidi ratiba nzima ikoje.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Zitto, ni Kamanda wa ukweli. Watazisikia hawataelewa, hizi kanda ndio mwisho wa CCM.
 
Wana Tabora leo ni siku njema kwenu katika kujenga demokrasia nchini na kuonyesha kuwa mnaweza kufanya mabadiliko ya kiuongozi tunapoelekea katika uchaguzi 2015
 
Zitto, sasa ni wakati wako kutuongoza watu wa hii kanda, uwe mfano wa kuigwa. Hapo inatakiwa mpaka wabunge wa Tabora wakuelewe wewe ni nani.
 
Zitto amepewa jukumu kubwa sana kwani ni kama chadema ndo inaanza kwenye kanda yake, me nakutakia kila la kheri maana shetwani ananguvu sana ila hamfikii Mungu. Nmependa mgawanyo huu wa kazi wakati huo katibu mkuu yupo manyara.
 
Mh. Naibu katibu mkuu wa CHADEMA taifa, Zitto Z Kabwe atautikisa mji wa Tabora na viunga vyake hii leo kwa kufungua matawi ya chama katika kila Kata ya Mji huo.


Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mh. Zitto aliwajulisha wananchi wa Tabora mjini wajiandae kupokea ujio huo mzito wenye malengo ya kuiokoa Tabora.

Wale wenye taarifa zaidi , hasa mlioko tabora mtujuze zaidi ratiba nzima ikoje.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

mh.vitumbua ameisikia hii?coz yule msomali leo yupo busy na vijana wa jangwani
 
Kamanda Zitto Kabwe,ukianza harakati katika jimbo la Urambo Mashariki naomba nijue ratiba ili nije kuongeza nguvu mimi

ndiye Mbunge wao mtarajiwa.nakutakia kazi njema mkoani kwetu.

wawezya sana mgosya.kwihamo
 
Hingera sana kamanda Zitto... Tangu Mabere atuahidi pale Kibaha kuwa wataanza kuzunguka kijiji kwa kijiji katika kanda ya Mashariki na Pwani, bado sijawasikia wakitimiza azma hiyo... Please wakati ni sasa, kwa hapo Dar/Pwani sidhani kama mnahitaji hata perdiem...
 
Tabora sasa iko mbioni kujikomboa, akina kapuya alikiwa wanapuyanga kivyao, Sita nae yupo tu...ngoje jeshi la ukombozi liingie, watulie sasa..wanaume tumeshaingia..
 
Tabora ni mkoa wenye matatizo lukuku ( home of problems ). Itakuwa faraja sana kama watabadilika kutoka kuwa region of problems na kuwa region of revolution.
 
Mimi binafsi nimefarijika sana mh Zitto kupewa uongozi wa hii kanda.hasa Tabora watu wamelala sana.mh Zitto go!
 
>Zzk kwa kanda hiyo,anakazi kubwa sana kuziondoa kutu pandikizi za Wakoloni weusi ccm.

Mh.Zitto fanya makubwa Mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom