kenethedmund
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 347
- 89
Mwenyekiti wa kama ti ya PAC Zitto Kabwe alikuwa wa kwanza kuvishukia vyama vya siasa kuwa mahesabu yake hayajakaguliwa na CAG lakini kwenye Taarifa ya Kamati yake iliyopelekwa Bungeni inasema sababu kuu ya kutokukaguliwa mahesabu ya vyama hivi vya siasa ni Serikali kushindwa kumpatia fedha CAG ili kumuwezesha kukagua hivi vyama vya siasa (Tundu Lissu ali quote kutoka kwenye taarifa waliyoiandaa wao wenyewe).
IKIWA HILI HALITOSHI
Zitto huyuhuyu alisema ana majina na A/C No. za watu walioficha fedha Uswisi mara kwa mara alipokuwa akiitwa kwenye kamati amekuwa akitoa visingizio vingi sana vya kutofika mbele ya kamati hiyo. Mpaka ilipopelekea Serikali kupitia Mwanasheria mkuu ilipomuhoji na kula kiapo akikiri kuwa hakuna lolote analojua kuhu fedha hizo. Akiwa amepoteza muda wa Wananchi wengi ambao tulitaka watu hawa wafikishwe kwenye vyombo vya dola na fedha hizo ijulikane walizipataje.
Zitto hafai kuwa Mbunge kwani anatafuta umaarufu kwenye hoja potofu na za kizushi. Kwa mchezo huu Zitto anaowachezea watanzania kwa kutumia upotoshaji mkubwa anapaswa kuwajibishwa hawezi chezea akili zetu kiasi hiki.
Nawasilisha
umetumwa nini? Waambie wamebakia wao tu hawakupeleka hesabu za vyama vyao. Pelekeni hesabu hivo hivo hata kama mlikopeshana.
Zitto makeke na papara za ujana zinamuharibia sana kwenye siasa zake...
Japo ni mtu mzuri sana akipunguza tamaa, kiburi cha mafanikio na kukurupuka
umetumwa nini? Waambie wamebakia wao tu hawakupeleka hesabu za vyama vyao. Pelekeni hesabu hivo hivo hata kama mlikopeshana.
tumechoka na habari zenu za Zittohumu. siandikeni zingine na mfukuzeni kabisa huko kwenye wahafidhini ili hizi stori za Zitto zifikie mwisho. waambie akina mbowe, slaa na lema wamfukuze yaishe, tumechoka.Mwenyekiti wa kama ti ya PAC Zitto Kabwe alikuwa wa kwanza kuvishukia vyama vya siasa kuwa mahesabu yake hayajakaguliwa na CAG lakini kwenye Taarifa ya Kamati yake iliyopelekwa Bungeni inasema sababu kuu ya kutokukaguliwa mahesabu ya vyama hivi vya siasa ni Serikali kushindwa kumpatia fedha CAG ili kumuwezesha kukagua hivi vyama vya siasa (Tundu Lissu ali quote kutoka kwenye taarifa waliyoiandaa wao wenyewe).
IKIWA HILI HALITOSHI
Zitto huyuhuyu alisema ana majina na A/C No. za watu walioficha fedha Uswisi mara kwa mara alipokuwa akiitwa kwenye kamati amekuwa akitoa visingizio vingi sana vya kutofika mbele ya kamati hiyo. Mpaka ilipopelekea Serikali kupitia Mwanasheria mkuu ilipomuhoji na kula kiapo akikiri kuwa hakuna lolote analojua kuhu fedha hizo. Akiwa amepoteza muda wa Wananchi wengi ambao tulitaka watu hawa wafikishwe kwenye vyombo vya dola na fedha hizo ijulikane walizipataje.
Zitto hafai kuwa Mbunge kwani anatafuta umaarufu kwenye hoja potofu na za kizushi. Kwa mchezo huu Zitto anaowachezea watanzania kwa kutumia upotoshaji mkubwa anapaswa kuwajibishwa hawezi chezea akili zetu kiasi hiki.
Nawasilisha
Uongo upo wapi? Vyama havikukaguliwa kwani cag hakupewa fungu na hilo umeliandika kwenye post yako,sasa uwongo wa zzk uko wapi? Unaweza kuwa bora kivyako bila kumtusi wala kumshutumu zzk.
Chadema chumbani wanaangaika sana,,,,kama kweli wewe ni mngwana,,,tupe na majibu ya zito kwa mwanasheria mkuu,,,sio unaangalia upande mmoja tu,,,,,siasa ya maji taka,,na mzimu wa zito utawatafuna sana
Lisu ni mnafiki mkubwa na hata mwanzisha thread naye amevurugwa tu hana lolote la maana. Zitto huwa hakurupuki hovyo kama wengine. Zitto Yuko imara kwakutoa hoja zenye mashiko.Nani asiyejua kuwa watu wameficha mabilioni nje?
Nawashangaa sana,etii mnapinga ufisadi du! Ile list of shame mlio wataja hela zao wameweka Benk gani hapa Tanzania? Tunataka mthibitishe ule uongo wenu wa mwembeyanga. Etii Leo mnashangilia pamoja na CCM! Aaaii! Du! Change Mzee wa vijisenti zake alikuwa ametunza wapi?
Wanachadema Tafadhali acheni kujitoa fahamu. Hesabu zenu zilikagiliwa lini na CAG?
Ufisadi mnao ndani ya chama lakini mnajifanya kupiga vita kwa nje? Hebu tuambieni fedha za ruzuku,Sabodo, wahisani toka nje na zile za wanachama bila kusahau harambee mmekusanya kiasi gani toka mwakajana na zote zimetumikaje?
Mistaki kishikiwa akili na mtu najitegemea mwenyewe,sio kama baadhi ya watu humu kila linalosemwa kwao ni sawa tu.
Kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako,toa kwanza kwenye jicho lako! CDM mnataka kisafisha kikombe nje kwakumtoa kafara Zitto wakati kikombe ndani nikichafu? Ondoeni banzi jichoni kwenu kwanza na safisheni kikombe ndani kwanza halafu ndio mje na hizo nyimbo Sasa. Acheni siasa za majitaka.