Zitto kuwadanganya umma kuhusu mahesabu ya vyama vya siasa

kenethedmund

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
347
89
Mwenyekiti wa kama ti ya PAC Zitto Kabwe alikuwa wa kwanza kuvishukia vyama vya siasa kuwa mahesabu yake hayajakaguliwa na CAG lakini kwenye Taarifa ya Kamati yake iliyopelekwa Bungeni inasema sababu kuu ya kutokukaguliwa mahesabu ya vyama hivi vya siasa ni Serikali kushindwa kumpatia fedha CAG ili kumuwezesha kukagua hivi vyama vya siasa (Tundu Lissu ali quote kutoka kwenye taarifa waliyoiandaa wao wenyewe).

IKIWA HILI HALITOSHI

Zitto huyuhuyu alisema ana majina na A/C No. za watu walioficha fedha Uswisi mara kwa mara alipokuwa akiitwa kwenye kamati amekuwa akitoa visingizio vingi sana vya kutofika mbele ya kamati hiyo. Mpaka ilipopelekea Serikali kupitia Mwanasheria mkuu ilipomuhoji na kula kiapo akikiri kuwa hakuna lolote analojua kuhu fedha hizo. Akiwa amepoteza muda wa Wananchi wengi ambao tulitaka watu hawa wafikishwe kwenye vyombo vya dola na fedha hizo ijulikane walizipataje.

Zitto hafai kuwa Mbunge kwani anatafuta umaarufu kwenye hoja potofu na za kizushi. Kwa mchezo huu Zitto anaowachezea watanzania kwa kutumia upotoshaji mkubwa anapaswa kuwajibishwa hawezi chezea akili zetu kiasi hiki.

Nawasilisha
 
Zitto anasumbuliwa na upweke ndio maana yuko busy kutafuta attention ya watu, inapaswa arudishwe india kumalizia matibabu.
 
Zitto makeke na papara za ujana zinamuharibia sana kwenye siasa zake...

Japo ni mtu mzuri sana akipunguza tamaa, kiburi cha mafanikio na kukurupuka
 
Mwenyekiti wa kama ti ya PAC Zitto Kabwe alikuwa wa kwanza kuvishukia vyama vya siasa kuwa mahesabu yake hayajakaguliwa na CAG lakini kwenye Taarifa ya Kamati yake iliyopelekwa Bungeni inasema sababu kuu ya kutokukaguliwa mahesabu ya vyama hivi vya siasa ni Serikali kushindwa kumpatia fedha CAG ili kumuwezesha kukagua hivi vyama vya siasa (Tundu Lissu ali quote kutoka kwenye taarifa waliyoiandaa wao wenyewe).

IKIWA HILI HALITOSHI

Zitto huyuhuyu alisema ana majina na A/C No. za watu walioficha fedha Uswisi mara kwa mara alipokuwa akiitwa kwenye kamati amekuwa akitoa visingizio vingi sana vya kutofika mbele ya kamati hiyo. Mpaka ilipopelekea Serikali kupitia Mwanasheria mkuu ilipomuhoji na kula kiapo akikiri kuwa hakuna lolote analojua kuhu fedha hizo. Akiwa amepoteza muda wa Wananchi wengi ambao tulitaka watu hawa wafikishwe kwenye vyombo vya dola na fedha hizo ijulikane walizipataje.

Zitto hafai kuwa Mbunge kwani anatafuta umaarufu kwenye hoja potofu na za kizushi. Kwa mchezo huu Zitto anaowachezea watanzania kwa kutumia upotoshaji mkubwa anapaswa kuwajibishwa hawezi chezea akili zetu kiasi hiki.

Nawasilisha

umetumwa nini? Waambie wamebakia wao tu hawakupeleka hesabu za vyama vyao. Pelekeni hesabu hivo hivo hata kama mlikopeshana.
 
Zito ni mtu mnafiki sana
Anapenda umimi sana mtu kama huyu hafai hata kuongoza kata
Amepewa fungu la kutosha ndo maana ametukana sisi watz
Ila Mungu yuko na sisi watz siku ya siku kila kitu kitajulikana
Asicheze na akili za watz anafikiri kila mtu ni borgus!
 
Waambie mafisadi warudishe hela zetu walizofisha huko Swiss
EPA, radar etc
Umaskini ulioko nchini ni kwa sababu ya mafisaidi wa ccm

umetumwa nini? Waambie wamebakia wao tu hawakupeleka hesabu za vyama vyao. Pelekeni hesabu hivo hivo hata kama mlikopeshana.
 
Tumia akili ikusaidie unafikiri kuna taasisi ambayo aina mkaguzi wake wa mahesabu ambaye huwa anapitia mahesabu ya taasisi vyama vyote vinatumia wakaguzi binafsi. Kwa hiyo kwa ufahamu wa kawaida unapaswa kujua mahesabu ya chadema yamekaguliwa ila siyo na CAG lakini yamekaguliwa.

umetumwa nini? Waambie wamebakia wao tu hawakupeleka hesabu za vyama vyao. Pelekeni hesabu hivo hivo hata kama mlikopeshana.
 
Mwenyekiti wa kama ti ya PAC Zitto Kabwe alikuwa wa kwanza kuvishukia vyama vya siasa kuwa mahesabu yake hayajakaguliwa na CAG lakini kwenye Taarifa ya Kamati yake iliyopelekwa Bungeni inasema sababu kuu ya kutokukaguliwa mahesabu ya vyama hivi vya siasa ni Serikali kushindwa kumpatia fedha CAG ili kumuwezesha kukagua hivi vyama vya siasa (Tundu Lissu ali quote kutoka kwenye taarifa waliyoiandaa wao wenyewe).

IKIWA HILI HALITOSHI

Zitto huyuhuyu alisema ana majina na A/C No. za watu walioficha fedha Uswisi mara kwa mara alipokuwa akiitwa kwenye kamati amekuwa akitoa visingizio vingi sana vya kutofika mbele ya kamati hiyo. Mpaka ilipopelekea Serikali kupitia Mwanasheria mkuu ilipomuhoji na kula kiapo akikiri kuwa hakuna lolote analojua kuhu fedha hizo. Akiwa amepoteza muda wa Wananchi wengi ambao tulitaka watu hawa wafikishwe kwenye vyombo vya dola na fedha hizo ijulikane walizipataje.

Zitto hafai kuwa Mbunge kwani anatafuta umaarufu kwenye hoja potofu na za kizushi. Kwa mchezo huu Zitto anaowachezea watanzania kwa kutumia upotoshaji mkubwa anapaswa kuwajibishwa hawezi chezea akili zetu kiasi hiki.

Nawasilisha
tumechoka na habari zenu za Zittohumu. siandikeni zingine na mfukuzeni kabisa huko kwenye wahafidhini ili hizi stori za Zitto zifikie mwisho. waambie akina mbowe, slaa na lema wamfukuze yaishe, tumechoka.
ukitaka kumuua paka/mbwa mpe jina baya. And that is it.
 
Uongo upo wapi? Vyama havikukaguliwa kwani cag hakupewa fungu na hilo umeliandika kwenye post yako,sasa uwongo wa zzk uko wapi? Unaweza kuwa bora kivyako bila kumtusi wala kumshutumu zzk.
 
Lisu ni mnafiki mkubwa na hata mwanzisha thread naye amevurugwa tu hana lolote la maana. Zitto huwa hakurupuki hovyo kama wengine. Zitto Yuko imara kwakutoa hoja zenye mashiko.Nani asiyejua kuwa watu wameficha mabilioni nje?

Nawashangaa sana,etii mnapinga ufisadi du! Ile list of shame mlio wataja hela zao wameweka Benk gani hapa Tanzania? Tunataka mthibitishe ule uongo wenu wa mwembeyanga. Etii Leo mnashangilia pamoja na CCM! Aaaii! Du! Change Mzee wa vijisenti zake alikuwa ametunza wapi?

Wanachadema Tafadhali acheni kujitoa fahamu. Hesabu zenu zilikagiliwa lini na CAG?

Ufisadi mnao ndani ya chama lakini mnajifanya kupiga vita kwa nje? Hebu tuambieni fedha za ruzuku,Sabodo, wahisani toka nje na zile za wanachama bila kusahau harambee mmekusanya kiasi gani toka mwakajana na zote zimetumikaje?

Mistaki kishikiwa akili na mtu najitegemea mwenyewe,sio kama baadhi ya watu humu kila linalosemwa kwao ni sawa tu.

Kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako,toa kwanza kwenye jicho lako! CDM mnataka kisafisha kikombe nje kwakumtoa kafara Zitto wakati kikombe ndani nikichafu? Ondoeni banzi jichoni kwenu kwanza na safisheni kikombe ndani kwanza halafu ndio mje na hizo nyimbo Sasa. Acheni siasa za majitaka.
 
Chadema chumbani wanaangaika sana,,,,kama kweli wewe ni mngwana,,,tupe na majibu ya zito kwa mwanasheria mkuu,,,sio unaangalia upande mmoja tu,,,,,siasa ya maji taka,,na mzimu wa zito utawatafuna sana
 
Tafakari kwa umakini walichokuwa wanafanya Zitto na Makamu wake PAC ni kuamisha lawama kwa Vyama vya siasa wakati uhalisia wa mambo ni kwamba mwenye makosa ni serikali na sio Vyama vya siasa hicho ndicho ninachoongelea. Lini CAG alipewa fedha na Serikali kukagua mahesabu yao alafu akavitaka vyama vya siasa kupeleka mahesabu vikakataa.

rejea kwenye kikao cha bunge ambacho Lissu alihoji kuhusu kauli ya Filukunjombe ambapo kwenye taarifa yao PAC wanaeleza kabisa kuwa CAG hakupewa fungu la kumuwezesha kukagua mahesabu ya vyama vya siasa na ndio chanzo cha kushindikana hilo zoezi.

Uongo upo wapi? Vyama havikukaguliwa kwani cag hakupewa fungu na hilo umeliandika kwenye post yako,sasa uwongo wa zzk uko wapi? Unaweza kuwa bora kivyako bila kumtusi wala kumshutumu zzk.
 
Mwanasheria mkuu ameongea facts, mpaka sasa Zitto ameleta maneno mengi na porojo sasa kama hiyo ndio dhana ya utawala bora wewe mwenyewe utapima. Mwambie Zitto akanushe kama kweli ajatoa kiapo kuwa hafahamu na ajui lolote kuhusu wenye A/C Uswiss na majina yao. Na akileta ubishi tuweke ushahidi humu ndani wa kiapo chake na akubali kujiuzulu kuwa Mbunge ili aoneshe dhana ya uwajibikaji anaousema kila siku.

Naomba Tuache ushabiki huyu mtu anaanza kuchanganykiwa

Chadema chumbani wanaangaika sana,,,,kama kweli wewe ni mngwana,,,tupe na majibu ya zito kwa mwanasheria mkuu,,,sio unaangalia upande mmoja tu,,,,,siasa ya maji taka,,na mzimu wa zito utawatafuna sana
 
Tatizo uko kishabiki, kuwa timamu, acha kupenda uozo mtu akikosea sema ukweli Zitto amechemka na ndio anazidi kujiharibia alikuja na ishu ya bilionea wa SA matokeo yake na kesi ameshindwa. Tulitaka ataje hata majina na hizo A/C kama alivyosema anayo lakini kila siku anakuja na story mpya nilikuwa najua yuko makini lakini kwa kweli amenichefua kwa kiasi kikubwa sana.

Lisu ni mnafiki mkubwa na hata mwanzisha thread naye amevurugwa tu hana lolote la maana. Zitto huwa hakurupuki hovyo kama wengine. Zitto Yuko imara kwakutoa hoja zenye mashiko.Nani asiyejua kuwa watu wameficha mabilioni nje?

Nawashangaa sana,etii mnapinga ufisadi du! Ile list of shame mlio wataja hela zao wameweka Benk gani hapa Tanzania? Tunataka mthibitishe ule uongo wenu wa mwembeyanga. Etii Leo mnashangilia pamoja na CCM! Aaaii! Du! Change Mzee wa vijisenti zake alikuwa ametunza wapi?

Wanachadema Tafadhali acheni kujitoa fahamu. Hesabu zenu zilikagiliwa lini na CAG?

Ufisadi mnao ndani ya chama lakini mnajifanya kupiga vita kwa nje? Hebu tuambieni fedha za ruzuku,Sabodo, wahisani toka nje na zile za wanachama bila kusahau harambee mmekusanya kiasi gani toka mwakajana na zote zimetumikaje?

Mistaki kishikiwa akili na mtu najitegemea mwenyewe,sio kama baadhi ya watu humu kila linalosemwa kwao ni sawa tu.

Kabla hujatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako,toa kwanza kwenye jicho lako! CDM mnataka kisafisha kikombe nje kwakumtoa kafara Zitto wakati kikombe ndani nikichafu? Ondoeni banzi jichoni kwenu kwanza na safisheni kikombe ndani kwanza halafu ndio mje na hizo nyimbo Sasa. Acheni siasa za majitaka.
 
Siku hizi raha kweli ukitaka kutoka tu hapa jf we mkashifu Zitto faster unatoka
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa kama ti ya PAC Zitto Kabwe alikuwa wa kwanza kuvishukia vyama vya siasa kuwa mahesabu yake hayajakaguliwa na CAG lakini kwenye Taarifa ya Kamati yake iliyopelekwa Bungeni inasema sababu kuu ya kutokukaguliwa mahesabu ya vyama hivi vya siasa ni Serikali kushindwa kumpatia fedha CAG ili kumuwezesha kukagua hivi vyama vya siasa (Tundu Lissu ali quote kutoka kwenye taarifa waliyoiandaa wao wenyewe).

IKIWA HILI HALITOSHI

Zitto huyuhuyu alisema ana majina na A/C No. za watu walioficha fedha Uswisi mara kwa mara alipokuwa akiitwa kwenye kamati amekuwa akitoa visingizio vingi sana vya kutofika mbele ya kamati hiyo. Mpaka ilipopelekea Serikali kupitia Mwanasheria mkuu ilipomuhoji na kula kiapo akikiri kuwa hakuna lolote analojua kuhu fedha hizo. Akiwa amepoteza muda wa Wananchi wengi ambao tulitaka watu hawa wafikishwe kwenye vyombo vya dola na fedha hizo ijulikane walizipataje.

Zitto hafai kuwa Mbunge kwani anatafuta umaarufu kwenye hoja potofu na za kizushi. Kwa mchezo huu Zitto anaowachezea watanzania kwa kutumia upotoshaji mkubwa anapaswa kuwajibishwa hawezi chezea akili zetu kiasi hiki.

Nawasilisha

Inakuhitaji akili nyingi sana kumuelewa Zitto sasa we division 5 utamuelewa vp? Lazima uje na pumba kama hz
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom