Abdull Kazi
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 322
- 255
Miafrika kwa kukimbilia dini, huna zaidi ya hilo Wangwe alikuwa dini gani,nalabuk
NIMECHEKA MPAKA BASI ! umemkomesha sana huyo mburula .Wewe unajuaje kuwa baba yako sio mchaga wakati mama yako alikuwa kiguu na njia? Huwezi jua kuwa huyo baba yako ------ kasingiziwa tuu kwa vile alikuwa na duka jirani?
Acheni ukabila nyie mtawakana mpaka ndugu zenu.
Leo saa saba mchana wabunge wote wa Chadema watakutana kwa ajili ya kikao maalum kwao..miongoni mwa mambo wanayotaraji kujadili ni pamoja na utekelezaji wa uamuzi wa kamati kuu ya Chama juu ya kumvua Zitto Kabwe nafasi unaibu kiongozi wa ambi y upinzani, taarifa ya kikao hch imetolewa na katibu wa wabunge wa Chadema David Silinde
.......
Post deleted PAW
tumechoka kumjadili zitto humu. mvueni uongozi kisha mlisheni sumu afe.
Unafiki wake umeponza.